Yanga mnatia taifa aibu nie si wakufanya hivi

Yanga mnatia taifa aibu nie si wakufanya hivi

*HIVI KWANINI SERIKALI WASIISAIDIE TIMU YANGA IKAINGIZWA KWENYE MPANGO WA KAYA MASIKINI ILI IWEZE KUNUFAIKA NA TASAF AWAMU YA PILI, MAANA WAMETESEKA SANA*

Kuna mtu ametoa haya mapendekezo...
 
Naona sasa umepata fundisho kufuatilia habari zisizokuhusu nyie si kuna tano zenu zinawasubiri uwanja wa taifa au hiyo habari hamna?
 
Ni kupoteza muda kuongea na POST YENYE UMBEA,UZANDIKI, NA UTOVU WA NIDHAMU....YANGA NI TIMU INAJIELEWA NA KILA MECHI KULINGANA NA ENEO ...TUNA BADGET YA KILA MECHI NA UTARATIBU WA WACHEZAJI KULA /KULALA/KUSAFIRI..NK

UWE MPOLE TUCHUKUE POINT ZETU TATU....na tupishane mnaporudi baada ya MAMBO KWISHA KESHO NATIONAL STADIUM....
 
Back
Top Bottom