Labda kwa umbea huu kaahidiwa malipo.
😀😀😀😀Mikia wanahitaji kuku weusi wengi kwa ajili ya kafara mechi dhidi ya Vita. Utawafaa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njano kama ugonjwa wa manjano
Leta ushahidi.
Mnakaa lodgeAISEEEEEE. NAONA MWANAUME WA MKOANI UMEANZA KUJIFUNZA UMBEA.
Unaifahamu country side Lodge iliyopo chuoni Tumainiacha ujinga wewe yanga hawatakaa wakose pesa ya chakula na iringa hakuna lodge ya elfu tao
Siyo kwel hiyo Lodge ni buku tano mi ndo naishi hapoMm shabik wa simba ila hiyo country side lodge rooms zinaanzia 35000, ni hotel nzur nje ya mji na matajir wengi wanaendaga kujificha na vimada wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Umbea gan wakat anatuhabarisha watoto wa jagwan tujue timu yetu imefikia wapAISEEEEEE. NAONA MWANAUME WA MKOANI UMEANZA KUJIFUNZA UMBEA.