Yanga mnatia taifa aibu nie si wakufanya hivi

Una umri gani kijana inaonekana wewe ni mtoto wa mama maana maneno yako yanaonesha hujui kama kuna kupanda na kushuka, kuna kupwa na kujaa, kuna milima na mabonde Siku zote haziwezi kuwa sawa TUNAENDANA NA NYAKATI. Pole mtoto
 
Ungewachangia maana wewe ni mdau wa soka.
 
Wanaomba chakula tofauti na hao mbwa mlowachinjia huko kwenu,... Hawalagi mbwa hao shekh... Sio rahisi kama unavyofikiri ww...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama kuna shida kama kwa hadhi hii wamelipa sh elfu tano tu, yaani elfu tano tu. Yaani hapa wachezaji wa Yanga wameokota dodo kwenye mchongoma aisee. Au kuna nyingine ukiachana na hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2019-03-15-15-03-10.jpeg
    33.2 KB · Views: 12
  • Screenshot_2019-03-15-15-03-55.jpeg
    41.1 KB · Views: 12
Wewe unachangia kiasi gani kwenye hiyo timu yako inayodhani ni tajiri? Bila hata aibu unakaa kujisifia pesa ya mwanaume mwenzako
Hii comment inatakiwa ikufikirishe mleta mada. Acha kujivunia utajiri usiokuhusu. Fedha za Simba si za timu ni za mtu binafsi. Hata Yanga iliwahi kuonekana tajiri kwa fedha za mfuko wa pili, hivyo nawe jifunze kuheshimu wasio nacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukutane kwa mchina tukanyonge mtuuu kwanza, ya vyura wa matopeni tuwachie wenyewe ni kipindi cha mpito watapata pesa tuuu uko mbeleni saivi walale ata kalenga lodge poa tuu




ghost rider
 
...cha ajabu wanashinda mechi. Yanga bana!!
 
Hivi huko Musoma kuna Mtaa unaitwa Iringa?wewe Mbumbumbu embu tupe maendeleo ya Timu yako ya Biashara United

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtoa uzi atakuwa ana vimelea vya ushoga na tamaa ya kichangudoa hicho unachikisifu si kilishindwa kulipa deni la Mafisango mpaka hao unaowadharau walilipa na kusafirisha vyombo vyake kwenda Congo na yule mropokaji alifika kuomba mchango baada ya kumtosa akatibiwe macho hacha ushamba Ishi kimjini
 
Hii ndio YANGAAAAAAA in Ephraim Kibonde's voice (r.i.p)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…