Yanga mnatupora mavugo?

Hollyman

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
283
Reaction score
77
Kuna tetesi kuwa Yanga wanakamilsha deal ya kumsign jembe mshambuliaji hatari laudit mavugo alie na magol 34 pale Burundi jamani Yanga kama kweli viongoz wa Simba msiwe mnatutangazia vita incomplete inauma sana
 
Tena wamkate yule sijui mjita anajifanya mghana.ANAJIITA ZUTAH.young sio sehemu ya kujifunzia mpira.
 
viongozi wa simba wanaongea sana kuliko vitendo. mavugo kwenda yanga sitashangaa kabisa. kila siku hao viongozi hawajifunzi kuwa wao wanajua sana kuchagua wachezaji wazuri badala wakae kimya mpaka wamalize dili wao mbio kutangaza kwenye magazeti kabla ya kumalizana na mchezaji na timu yake. matokeo yake sasa yanga na azam wakiingia mchezaji wa dola 20,000 na mshahara wa dola 2,000 ghafla utasikia eti anauzwa dola 100,000 na mshahara wa dola 6,000!. nikiangalia suala la kipa wa jku na hili la mavugo nabaki mdomo wazi.
 

simba timu ya magazetini , hata usajili niwakwenye magazet
 
Tabia za viongozi wa Simba zinafanana yaani hakuna tofauti kati yao. Hans pope + Georfrey Nyange + Haji Manara= 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…