Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
viongozi wa simba wanaongea sana kuliko vitendo. mavugo kwenda yanga sitashangaa kabisa. kila siku hao viongozi hawajifunzi kuwa wao wanajua sana kuchagua wachezaji wazuri badala wakae kimya mpaka wamalize dili wao mbio kutangaza kwenye magazeti kabla ya kumalizana na mchezaji na timu yake. matokeo yake sasa yanga na azam wakiingia mchezaji wa dola 20,000 na mshahara wa dola 2,000 ghafla utasikia eti anauzwa dola 100,000 na mshahara wa dola 6,000!. nikiangalia suala la kipa wa jku na hili la mavugo nabaki mdomo wazi.