OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Acha uzwazwa dogo, kuna uhusiano gani wa kishikwambi na post humu jf?Tangu walimu mgawiwe vishikwambi threads za kijinga zimeongezeka mara dufu
upo mkubwa sana, mtu akikosa kazi mbio kufungua uziAcha uzwazwa dogo, kuna uhusiano gani wa kishikwambi na post humu jf?
Nimepitia kwa haraka haraka profile zenu. Inaonyesha wewe ndiyo mgeni kuliko yeye.Tangu walimu mgawiwe vishikwambi threads za kijinga zimeongezeka mara dufu
Unasema tusianze mimi ni nani pale Yanga?Nimepitia kwa haraka haraka profile zenu. Inaonyesha wewe ndiyo mgeni kuliko yeye.
Na mimi nasisitiza, msianze maandalizi mpaka mmepewa taarifa rasmi maana mmeanza kutunisha vifua kwa sababu ya kauli za wanasiasa.
Shabiki mandaziUnasema tusianze mimi ni nani pale Yanga?
sawa MangunguShabiki mandazi
Sawa shabiki mandazisawa Mangungu
Yanga kila siku anawachomea vichaka,wanawayawayaMbona Unaweweseka Ndugu Yangu
Kuna vitu ni vya kijinga mnooo[emoji3][emoji3]View attachment 2583640
Dogo heshimu ajira za watu Si ajabu wewe jobless maana huwezi kuwa na akili timamu na ukadharau ajira za watu kisa ushabiki maandazi wa mpira.Tangu walimu mgawiwe vishikwambi threads za kijinga zimeongezeka mara dufu