Yanga msianze maandalizi, hamna sifa za kuwepo Super League

Yanga msianze maandalizi, hamna sifa za kuwepo Super League

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
e049695977bd46c3a094f663d3e4ac04_340324410_744848337371937_5147152111258572433_n.jpg


Hakuna taarifa mpya kwenye Ligi Kuu ya Afrika kutoka kwa niliyotoa mara ya mwisho.

Timu 8 pekee ndizo zitaanzisha mashindano na sio 24 katika msimu wa kwanza.

Mazungumzo yanaendelea kwa Enyimba FC kutoka Nigeria kuchukua nafasi ya Horoya AC ambao HAWAKO tayari kwa mashindano hayo.

Hivi karibuni, kazi za ukarabati ambazo zimependekezwa na mamlaka baada ya ukaguzi zitaanza kwenye baadhi ya viwanja - zitafungwa hadi kazi ifanyike.
 
Nimepitia kwa haraka haraka profile zenu. Inaonyesha wewe ndiyo mgeni kuliko yeye.

Na mimi nasisitiza, msianze maandalizi mpaka mmepewa taarifa rasmi maana mmeanza kutunisha vifua kwa sababu ya kauli za wanasiasa.
Unasema tusianze mimi ni nani pale Yanga?
 
hii taarifa imewakata maini.
timu nane tu,kwenye izo nane ikitokea timu moja ikajitoa bado uto ampati iyo nafasi atapewa mwingine.

wajikoni ni wajikoni tu dining room asogei.
 
Simply Yanga hata wakiongeza 16 bado hayupo imagine hizi timu hazipo super league

Kaizer
Orlando
Raja
Zamalek
Pyramids
El hilal
Berkane
CR Belouzdad
Enyimba
As Vita
Ahly Tripol
Cs sfaxien
Kabylie

Zingine wataongeza

sjui karia katuonaje kutuambia caf itasikiliza maombi ya mwana falsafa
 
Tangu walimu mgawiwe vishikwambi threads za kijinga zimeongezeka mara dufu
Dogo heshimu ajira za watu Si ajabu wewe jobless maana huwezi kuwa na akili timamu na ukadharau ajira za watu kisa ushabiki maandazi wa mpira.
 
Back
Top Bottom