wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Mkuu,hata kwa timu ya Azam ni yale yale. Brian Majwega haonekani kwenye mechi hata kwenye 'sub'. Nilidhani katemwa lakini kumbe ni maamuzi tu ya benchi la ufundi kumzibia. Huyu Brian ni mchezaji wa timu ya taifa ya nchi yake sasa kutompanga hata 'sub' ni kitendo kibaya sana.
Mkuu, ni wiki iliyopita tu msemaji wa timu ya Azam alihojiwa na baadhi ya radio zetu kuhusiana na mchezaji huyo kuamua kufanya mazowezi na klabu ya Simba, huyo bwana aling'aka na kudai Brian bado ni mchezaji wao Azam na kwamba kuamua kufanya mazowezi timu nyingine ni kinyume na mkataba.Mkuu Brian Majwega hayupo AZAM, alisharudishwa kwao na huko akapata timu, Simba wanataka kurudisha Tanzania