wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
nimemsikia msemaji wa yanga akitoa vitisho kwa mchezaji huyo sio vizuri mchezaji huyo kupewa dk 2 za mchezo udikteta wa viongozi ndizo zilivyomfanya aondoke.
uongozi ulionekana viburi baada ya yanga kuchukua ubingwa sasa tuwaone mwaka huu kama mtachukua ubingwa mwaka huu
uongozi ulionekana viburi baada ya yanga kuchukua ubingwa sasa tuwaone mwaka huu kama mtachukua ubingwa mwaka huu