Yanga msimtafutie lawama Mwamnyeto!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Majirani,

Huyu Mwamnyeto mmemgeuza Maguire kwa kumpa kila lawama timu ikiruhusu goli! Yanga hamjapoteza game zaidi ya mechi 40 chini ya ukuta wa Mwamnyeto lakini bado mnamuona ni beki asiyefaa.

Ile game ya Al Hilal assume Mwamnyeto angekuwa amecheza! Angeoga matusi ya lawama lakini kwavile kipenzi chao Bangala ndio alilazwa na viatu wapo kimya.

Sasa kuna pressure Mwamnyeto arudi kuwa Centre back na Bangala asogee Midfield. Mechi ya Sudan ni ngumu na itakuwa na pressure kubwa. Hapa mnataka kumpa lawama bure Mwamnyeto maana tayari ana pressure zenu zilizoua confidence yake! Alafu weka na pressure ya Al Hilal ni mtego kwake.

Binafsi naamini Mwamnyeto ni beki bora na akipata mtu wa kumuweka sawa kisaikolojia atawasaidia sana lakini si game ya kesho ambayo inaweza kupigilia msumari wa hatma yake Yanga.

Kila lakheri Mwamnyeto! Uto mpate mnachostahili huko Khartoum [emoji846]
 
😁😁😁 kwhy kalynda mushaachan nayo mumegeukia kwa yanga ss
 
Hapo ndo unaona umbumbu wa watanzania kule Manchester United kuna Maguire kila mechi anatoa boko ila hakuna mchambuzi hata mmoja wa uingereza anayemsema wanabaki kuwasema wageni kama kina Ronaldo ila bongo sijui nani katuroga wanamuheshimu bangala mkongo hata acheze utumbo ila mwamnyeto akikosea kidogo tu basi kelele kibao
 
Bangala ni Central defender by nature na ile game ndio alikata upepo kama sio kazi kubwa ya Job ila ndio vile, wachambuzi wakikupenda huguswi.
 
Mwamnyeto na Diarra hucheza vizuri pale tu wanapo shirikiana kwa karibu na Dickson Job, na Yannick Bangala pale kati.

I wish ataanza kwenye mechi ya kesho. Pamoja na madhaifu yake machache, bado ana nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Yanga.

No way out! Maana ukimrudisha Bangala namba 5, pale namba 6 kunatokea tena uchochoro wa kupita.
 
Well said
 
Sahihi kabisa
 
Wenzio tayari wameaminishana wameshafuzu makundi kwa options za 1-1, 2-2 au 3-3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…