Yanga msimtafutie lawama Mwamnyeto!

Iwe jua iwe mvua yanga anapindua meza
 
Sahihi kabisa amejitahidi kadri ya uwezo wake
 
Dogo mbna Hana shida yule bas tu Ni kutokuwa making kweny kukaba vzr
 
Dah nimekosa POS kbsa leo yaani Niko Niko tu mkp leo nimegida Serengeti ili kuondoa stresse
 
Hatimae mwamnyeto kaangushiwa lawama
Wachambuzi wanamchambua yeye tu while kuna wachezaji watatu walikimbizana golini kama makipa wakamuacha jamaa peke yake afunge kiulaini kabisa. Mwamnyeto ana damu ya kunguni [emoji846]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…