kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
[emoji23][emoji28][emoji28]Daima mbele nyuma maelewano
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji28][emoji28]Daima mbele nyuma maelewano
Kwani kadanganya mmeshapigwa tayariMke na watoto wawili. Kama ni demu njoo na wewe nikuoe
Yanga kashafungwa dakika yatatGame saa ngap!?
Sahihi kabisa amejitahidi kadri ya uwezo wakeMajirani,
Huyu Mwamnyeto mmemgeuza Maguire kwa kumpa kila lawama timu ikiruhusu goli! Yanga hamjapoteza game zaidi ya mechi 40 chini ya ukuta wa Mwamnyeto lakini bado mnamuona ni beki asiyefaa.
Ile game ya Al Hilal assume Mwamnyeto angekuwa amecheza! Angeoga matusi ya lawama lakini kwavile kipenzi chao Bangala ndio alilazwa na viatu wapo kimya.
Sasa kuna pressure Mwamnyeto arudi kuwa Centre back na Bangala asogee Midfield. Mechi ya Sudan ni ngumu na itakuwa na pressure kubwa. Hapa mnataka kumpa lawama bure Mwamnyeto maana tayari ana pressure zenu zilizoua confidence yake! Alafu weka na pressure ya Al Hilal ni mtego kwake.
Binafsi naamini Mwamnyeto ni beki bora na akipata mtu wa kumuweka sawa kisaikolojia atawasaidia sana lakini si game ya kesho ambayo inaweza kupigilia msumari wa hatma yake Yanga.
Kila lakheri Mwamnyeto! Uto mpate mnachostahili huko Khartoum [emoji846]
Dogo mbna Hana shida yule bas tu Ni kutokuwa making kweny kukaba vzrMajirani,