gentleman J
New Member
- Apr 25, 2020
- 3
- 103
Wachambuzi wa uchwara wa hapa JamiiForums na wengine wa mitandao wanaweweseka kila kukicha hawapati taarifa kutoka kwa Yanga. Wanajaribu kutunga habari za kizushi ili waende mjini lakini hawafanikiwi.
Yanga ndio club kubwa Tanzania, wewe jiulize Azam na Simba wametambulisha wachezaji wao lakini hawapi airtime za kutosha, kila mchambuzi anasubiri wachezajiwa Yanga.
~ Eti mara Mtendaji Mkuu anataka kuondoka.
~ Eti yanga wamefungiwa kusajili.
~ Yanga hawana pesa
~ Wachezaji wanataka kuondoka.
Labda hamjaelewa kitu, Yanga wameamua kufanya mambo yao kiprofessional zaidi, Yanga wamesema hawashindani na mtu kusajili, Yanga wanasajili kulingana na matakwa yao.
~ Yanga walianza kutambulisha Kocha.
~ Leo wanatambulisha Benchi la Ufundi.
~ Watafata kutambulisha wachezaji.
Yanga washasema wameshamaliza kusajili, sasa nashangaa mpuuzi mmoja kutoka humu JamiiForums nadhani mnajua huyu jamaa taarifa zake nizakipuzi na uongo mtupu.
Hjui mpira wala nini, yeye anaishi kwa mihemuko tu na mahaba ya kijinga. Hata ukiangalia nyuzi zake nyingi ni kuisema Yanga, anashindwa kuelewa kuwa anaipa yanga airtime.