Yanga msimu huu watapaki basi kwa Simba S.C

Yanga msimu huu watapaki basi kwa Simba S.C

Mbumbumbu katika ubora wake!! Hivi Yanga hii gari limewaka unawezaje kuizuia!!
Tunachojua sisi uto ni kuvunja kila rekodi ya kolowizard, na kila tunakopita tunawakanyaga makolo na kuwashusha chini, NBC premier league lengo ni kuchukua kombe mara kumi, hivi sasa sisi uto tuko Champions league, simba iko ndondo cup aka kombe la loosers!

Na bado!! Ni mwendo wa kujifariji tu kilichobaki msimbazi!!
 
Back
Top Bottom