Yanga msipeleke timu mapinduzi cup

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Kwa uonevu huu wa TFF kutumia waamuzi kuikwamisha yanga uongozi usipeleke timu mapinduzi cup ili kilio hicho kifike serikalini.
Huu ni mwaka wa tatu tunaonewa na waamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
krooo!! krooooo!! krooooooooo!!!! njoo!! mvua njooo!! walisikika wale vyura karibu na kambuga kadogo ukitokea kariakoo kwenda kigogo
 
Waamuzi wa bongo ni pasua kichwa! Yule mwamuzi jana alizingua kuwanyima Yanga ile penati ya wazi. Kwa mara ya kwanza nilimuona Master akitokwa na povu kama lote. Ila kuna umuhimu pia kwa viongozi wa timu kuweka kipengele cha nidhamu kwenye mikataba ya wachezaji wao.

Kile kitendo alichokifanya Lamine Moro ni cha kitoto! Na hakistahili kufanywa na mchezaji wa hadhi kama yake. Ajirekebishe na ajitahidi kuzuia hasira na jazba zake za karibu.
 
Yule lamina Moro amejitafutia ban ya mechi yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uonevu huu wa tff kutumia waamuzi kuikwamisha yanga uongozi usipeleke timu mapinduzi cup ili kilio hicho kifike serikalini.
Huu ni mwaka wa tatu tunaonewa na waamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Washaanza kulialia washasahau ktk ligi hii hii washawahi kufungwa goli safi kabisa na ruvu shooting ila.refa akalikataa,vilevile walipewa goli ambalo halikuingia siku walipocheza na kosti.
Siku zile marefa walikuwa wazuri ila sasa hawafai.kuwa gongowazi ni shida.Ila yanga wakishajua timu yao mbovu huwa hawatafuti sababu za kisayansi kutatua tatizo bali hulialia kudai wanaonewa wakati tabia hiyo haijawasaidia lolote.sie tunpiga tu ndegelec

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…