Kwa majigambo haya nilitegemea mtawafunga Mtibwa 5...
Tatizo la Yanga sasa hivi ni beki mmoja wa kati (kuziba nafasi ya Bossou),tatizo hili linaenda kutatuliwa na beki Mnigeria Yisa Anifowoshe...Atasaidiana na Kelvin Patrick Yondan, Nadir Haroub, Pato Ngonyani, Abdallah Shaib na Andrew Vincent.
Magolikipa tunao wazuri tu...Youthe Rostand, Beno Kakolanya, Ramadhan Kabwili na Rahim Sheikh
Mabeki wa pembeni ni Gadiel Michael Mbaga, Haji Mwinyi Ngwali , Juma Abdul Mnyamani na Hassan Ramadhan Kessy
Viungo wa kati wapo wazuri na wa kutosha...Yupo Thaban Kamusoko, Said Juma, Papy Kabanda Tshishimbi, Raphael Daud Alpha, Pius Buswita na Maka Edward Mwakalukwa...
Washambuliaji Obrey Cholla Chorwa, Donald Dombo Ngoma, Amis Jocelyne Tambwe, Ibrahim Ajib Migomba na Matheo Anthony..
Mawinga ni Geofrey Mwashiuya, Emmanuel Martin, Said Mussa, Baruany Yahaya, Yusuph Mhilu na Juma Mahadhi..