chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Yanga kwa mchezo mnaocheza hakika ligi ikianza msipobadilika basi mjiandae kupigika sana.Mnatuweka roho juu sana mashabiki wenu wa kiboya mnaocheza.
Mfano. Mtu kama okwi na akina cha ufupi (kichuya)fundi (NIYONZIMA) hawatatuacha salama aisee....badilikeni fasta vinginevyo mnampango wakutupa pressure msimu huu (mitaani huku mtatufanya tusitembee kabisa)
Mnaniboa sana
Commred Chichimizi
commred Chichimizi