Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Yanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi!

Kilichotokea Leo pale Ruangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na nyani endeleeni kutoa vichapo kivyovyote ilimradi point 3 ziingie kapuni,,

Tutaendelea kukusanya point popote pale na kwa njia zozote zile kwakuwa Hawa mbumbumbu wanatingisha mzinga wa nyuki kwa kujifanya wanaweza fitina but hapa yanga ndio fitina zimezaliwa!

Kwakuwa TFF imebariki hiki kinachoendelea kwa marefa basi ngoja tupimane ubavu alafu tuone nani mshindi!

Soma Pia: FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Tushaingia kazini na tunawachora tu vilio vitakuwa vikubwa kuliko na wabwekaji watakuwa wengi siku sio nyingi!

Kwasasa kukenua na kufurahia ushindi dhidi ya Namungo kwa njia haramu ni juu yenu but tunahitaji muendelezo wa kukenue kwenye mechi za yanga pia akiwa anapata ushindi wake pia!

Tunawapongeza kwa kufurahia lakini mjiandae!
 
Well said
 
Kuna kolo mmoja nilimwambia kama kweli unataka kuongelea kuhusu upangaji matokeo, uamuzi mbovu au kupendelewa basi hutakiwi kubagua matukio hata kama linahusu timu yako.

Haiwezekani unamsema Kayoko kawapendelea Yanga huku unaacha kuongelea tukio la Kayoko huyo huyo kumpa kadi ya njano Hamza badala ya nyekundu kwa kosa la kumuangusha Dube yeye akiwa mlinzi wa mwisho.

Hatutafika kwa staili hii. Kama tumeamua kukemea ushetani basi hatutakiwi kuegemea upande.
 
Mkuu we tulia vilio vikubwa viko njiani
 
Si mlianza sasa tutamalizaaa,,kikubwa atutaki kamdomo,,muufyate hivyo hivyo kama mlivyoufyata Leo,,hii ni vita ya wanaume na tunataka tuone nani kidume!
Si umesema nyie ndiyo waanzilishi wa fitna au unapayuka tu lolote linalotoka shimoni?
 
Si umesema nyie ndiyo waanzilishi wa fitna au unapayuka tu lolote linalotoka shimoni?
Wewe usitupotezee muda,,lile shimo lililokutoa wewe na kukuleta duniani ndio shimo ilo na sio kingine!
 
Twende na fitina tu
Si ligi haina mwenyewe
Uwanjani hamwezi mnahonga marefa
Mnalazimisha mpate sababu ya kuendeleza uhuni wenu. Sisi tunapiga GSM mkuu na shoga zake wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…