Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

Katika maelezo yako umesema GSM ni mfadhili ila haujasema kama ni mdhamini. Nataka kuhakikisha kuwa ndicho ulichomaanisha.
Basi nenda kwa viongozi wako utapata ufafanuzi zaidi kwakuwa ujanielewa
 
Naaibika kwa lipi labda niambie bwana mbumbumbu!
Kama bado una kikokotoo chako ulichotumia kufuzu kuingia robo fainali, kaa upige  mahesabu ni mara ngapi umekula za uso kuitetea Yanga yako.
 
Kama bado una kikokotoo chako ulichotumia kufuzu kuingia robo fainali, kaa upige  mahesabu ni mara ngapi umekula za uso kuitetea Yanga yako.
Si uzitaje hizo za uso ili zijulikane
 
Wewe ni Bora ukakaa kimya tu maana unajidhalilisha hapa,,kiufupi yanga haijapata mwekezaji,,yanga inae mfadhili wa klabu,,Simba ndio inae mwekezaji usiwe unapotosha watu!
Lete tofauti ya Mo na GSM
 
Mdhamini mkuu wa yanga ni sportpesa na mfadhili wa yanga ni gsm,,mfadhili anafadhili shughuli za uendeshaji wa timu kwa namna anavyoguswa,,na mdhamini ni yule aliyeingia makubaliano ya kisheria na klabu kwa mkataba maalum akiwa na nia ya kutangaza biashara zake kupitia klabu husika nadhani umenielewa!
Tofauti ya GSM wa Yanga na anayepeleka fedha za udhamini Dodoma Jiji ni ipi!?
 
Ficha ujinga wako basi angalau kidogo, michuano ya wakinamama cup ndio unatuwekea hapa? Umemsikia Mosepe juzi alichokisema?
Bahati mbaya hata hayo mashindano ya hakina mama hammo.

Nyie ni hakina MAMA mliokimbilia kwenda kwenye mashindano ya wanaume mkiwa Uchi matokeo yake mkabakwa na kila kidume kwenye kundi lenu .

Na haya makasiriko mliyonayo yanatokana na Mimba ya kubakwa huko CAFCL
 
Back
Top Bottom