Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

Wekezeni timu ziwaachie, sisi tunawekeza kwa[emoji1782][emoji1782]
 
Ficha ujinga wako basi angalau kidogo, michuano ya wakinamama cup ndio unatuwekea hapa? Umemsikia Mosepe juzi alichokisema?
Ujingaaa??? Ficha puuzi wako hahahha kama mashindano yapo yanachezwaa huo sio ujinga.. mjinga ni yule anaebishana na ukweli...
Ww uliyatolea jasho ukachekelea mwka mzima wakati huo ulikua mjinga etiii...
Wayafute tuu ssi tuna jambo letu mwaka huu wakiyafuta jambo letu litakua limetimia..poleni nyie ndoto zenu zimeshazimwaaaa...
 
Nani anajali hayo mashindano yenu ya UMISETA yaani mashindano ya akina mama
Si kama wewe mwanamama mstaafu umeshajadili hapa...kwa sbb yanakuumiza moyo wakoo...hahaha
 
Wewe kenua tu risiti natunza ole wako uje kubweka hapa kama mbwa kichaa utaisoma namba!
Mgunda leo hakupanga kikosi cha tatu kama walivyofanya kikosi kazi cha GSM na Bwana Fedha. Uliona lakini Erasto Nyoni alivyokaza siyo mambo ya hovyo hovyo mnayofanya nyie? Timu inapigiwa faulo haiweki hata ukuta.
 
Waziri mwenye dhamana alikuwepo uwanjani. Tutegemee adhabu kali dhidi ya Simba ndani ya masaa 24.
Ndo maana Rage aliwaita mbumbumbu

Hujui kuwa serikali haitakiwi kuingilia masuala ya football?
 
Kumbe unajua kwamba yanafutwa but nati tu ndio zinalegea kichwani,,icho kikosi unachotuwekea yanga alishapita uko ebu kaangalie kikosi cha wiki cha caf kuanzia robo fainali mpaka fainali yanga alikuwa anaingiza wachezaji wangapi kwenye iyo wamama cup uliyopo,,Yani robo tu unarukaruka maskini!
 
Hayo mashindano wapeni Simba Queens
Tutawapa na Yanga prinzez....ili wajiononee kaka zao utopwox walivyotoa jasho msimu huo wakiwa wanawania ubingwa...ahhahahahahha
 
Mgunda leo hakupanga kikosi cha tatu kama walivyofanya kikosi kazi cha GSM na Bwana Fedha. Uliona lakini Erasto Nyoni alivyokaza siyo mambo ya hovyo hovyo mnayofanya nyie? Timu inapigiwa faulo haiweki hata ukuta.
Ukuta utakuja kuuweka wewe mjiandae!
 
Hebu nitolee maoni yako yaliyojaa jakamoyo..kisukununu na roho ya kichawi...maoni yako hayanizuii mimi kuandika vile nataka brazaa. Si ulisema mashindano ya kinamama kumbe na ww ulikua unafurahi wamama wa uto walivyokua wanachacharika mpk kuingia kwny hvyo vikosi??? Hahaha
Kufutwa kwake haituzuii kuwa na raha zetu...haituzuii kuwa kwny mashindano kwa sasa...
 
Hata African Football League Simba ina uhakika wa kuwepo wakati chura mpaka waombewe na Mwana FA. Wakisema ni timu 8 hadi 16, uto hatoboi
 
Hii ligi imekuwa kama ndondo full usela mavi🚮🚮 TFF wasipokuwa makini itapoteza ladha na hata Azam watakosa wakulipia ving'amuz watu watarudi EPL siyo muda
 
Tutawapa na Yanga prinzez....ili wajiononee kaka zao utopwox walivyotoa jasho msimu huo wakiwa wanawania ubingwa...ahhahahahahha
Timu za wanaume zinacheza CAFCL
Wamama wapo shirikisho yaani upatu
 
Timu za wanaume zinacheza CAFCL
Wamama wapo shirikisho yaani upatu
Huko tuliingia makundi 4tyms mfululu kaka Ngara mtoni...yani ni kwambaaa hizo rekodi labda tuzivunje wenyewe..si mnaona mliozoea huku mmetolewa mapema kwa aibu kubwaaaa....
 
Sasa unatuwekea huo ujinga ili iweje? Kwamba ndio mara yako ya kwanza kuona icho kitu ama?
 
Huko tuliingia makundi 4tyms mfululu kaka Ngara mtoni...yani ni kwambaaa hizo rekodi labda tuzivunje wenyewe..si mnaona mliozoea huku mmetolewa mapema kwa aibu kubwaaaa....
Msimu mlicheza mashindano Gani
Nimekwambia timu kubwa zinacheza CAFCL
 
Sasa unatuwekea huo ujinga ili iweje? Kwamba ndio mara yako ya kwanza kuona icho kitu ama?
Acha kuangalia kwani umelazimishwa?? mbona una presha kama unakata roho?? Hahaha pumzika shusha pumzi chini relaaaaaax
 
Msimu mlicheza mashindano Gani
Nimekwambia timu kubwa zinacheza CAFCL
Timu kubwa ni zile zilizoingi robo fainali club Bingwa na shirikisho wengine hamna tofauti na Ken gold...
Timu mbovu zotee zimefurushwa...
Zimebaki majayanti pekee top 10 CAF ranks...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…