Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

Penati zote zilikuwa halali,kadi nyekundu sijui nini kilitokea!Huenda refa aliona kitu kikitendwa dhidi ya Ateba!
Faulo nyingi zilikuwa za makusudi ili simba ipate matokeo. Wachambuzi hawatalisema hili
 
Acha uzwazwa basi na wewe,,ni lini yanga kampata mwekezaji? Unaposema gsm amekabidhiwa yanga una maana tiyali kapewa timu kama mlivyompa Mo,,ni lini na mkutano Gani wanachama walimkabidhi gsm timu?
 
NMB na Gsm ni vitu viwili tofauti. Gsm amekabidhiwa Yanga na wananchama aiendeshe ipate mafanikio, kwa hiyo kudhamini klabu nyingine huo ni ufisadi kwani hao anaowadhamini ni wapinzani wa Yanga ambayo yeye kakabishiwa apigania mafanikio yake. Huu wizi upo Tanzania tu. Lete mfano wa kitu hiki kwenye ligi nyingine
Acha uzwazwa basi na wewe,,ni lini yanga kampata mwekezaji? Unaposema gsm amekabidhiwa yanga una maana tiyali kapewa timu kama mlivyompa Mo,,ni lini na mkutano Gani wanachama walimkabidhi gsm timu?
Ni uwendawazimu kutenganisha Gsm na mwendeshaji wa Yanga. Ndio maana Hersi Said aliwaambia nyie wala mihogo mkae kimya kwani hamna mnalochangia kwenye kuendesha timu. Kama unaleta porojo lete mchanganuo wa hela mnazotoa kuendesha klabu, au ndio zile tozo za kadi shilingi 10,000 ndio unadhani zinaendesha klabu, ficha upumbavu wako.
 
Si mlianza sasa tutamalizaaa,,kikubwa atutaki kamdomo,,muufyate hivyo hivyo kama mlivyoufyata Leo,,hii ni vita ya wanaume na tunataka tuone nani kidume!
Sasa unalia nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbumbumbu siku zote ni 🚮🚮 unaongea kwa kutumia hisia zako na akili zako finyu za kishabiki,,Yani mawazo yako unalazimisha yawe ndio ukweli,,Nimekuuliza swali dogo tu ni mkutano Gani wa wanachama ulimpitisha gsm kuwa mwekezaji wa YANGA,,jibu ilo swali kwanza usitake tuendelee kumsifia Rage kwa kuwaita mbumbumbu,,Yanga Ina mdhamini ambae ni gsm na sio mmiliki wa yanga,,ni tofauti na Simba inae mwekezaji tiyali kwa mujibu wa Sheria na vikao vyenu vya wanachama ndio vilimkabidhi timu!
Gsm kama mfadhili au mdhamini uwezi kumzuia kudhamini vilabu vingine kwakuwa akuna Sheria inayomzuia kufanya ivyo yupo kibiashara zaidi,,mambo ya kusema uwezi kumtenganisha ayo ayakuhusu ni kutafuta unachowaza wewe kichwani mwako kiwe sawa aiwezekani atuendi kwa stahili iyo!
 
Maumivu yakikuzidia chomoa mwiko nyuma tuu
 
Mkutano ndio nini wewe utopolo!? Injinia alipowaambia wala mihogo wakae kimya , alikuwa anamaanisha akina nani wakae kimya!? Endelea kujitoa akili.
 
Mkutano ndio nini wewe utopolo!? Injinia alipowaambia wala mihogo wakae kimya , alikuwa anamaanisha akina nani wakae kimya!? Endelea kujitoa akili.
Mi nadhani nabishana na mtu mwenye uwezo mzuri wa kujenga hoja kumbe nabishana na mtu mwenye IQ ndogo hivi? Msingi wa hoja yako ni upi?
 
Mi nadhani nabishana na mtu mwenye uwezo mzuri wa kujenga hoja kumbe nabishana na mtu mwenye IQ ndogo hivi? Msingi wa hoja yako ni upi?
IQ ndogo ni wewe uayejaribu kutenganisha gsm anayeendesha Yanga na anayedhamini timu pinzani kwa Yanga kwenye ligi moja. Eti Coastal anapokea fedha za udhamini toka gsm. Inaingia akilini hii!?. Wapi kwenye ligi nyingine unayoijua wewe kuna hili suala!?
 
Kwaiyo wewe ndio mwenye akili kubwa kuzidi bodi ya ligi na tff? Nitajie kifungu cha Sheria kinachomzuia gsm kudhamini vilabu vingine,,Sheria za fifa zinasemaje juu ya ilo?
 
Kwaiyo wewe ndio mwenye akili kubwa kuzidi bodi ya ligi na tff? Nitajie kifungu cha Sheria kinachomzuia gsm kudhamini vilabu vingine,,Sheria za fifa zinasemaje juu ya ilo?
Kwa hiyo bodi ya ligi na tff ndio wenye akili kubwa.!? Wakati Karia mkewe ni mfanyakazi wa gsm unatarajia weledi kutokea wapi hapo!? Sheria zote za soka haziruhusu hilo suala. Hapo ni wazi kuna mgongano wa maslahi. Ndio yale yale ya Mwigulu kuwa mjumbe wa Yanga huku akiendesha Singida, utasema ni sawa kwa kuwa sheria imeruhusu au TFF wamekaa kimya!?
 
 
Onyesha jina la Mwigulu kwenye bodi ya wakurugenzi SBS
Tukikwambia wewe ni mbumbumbu unalia
 

Attachments

  • markup_1000103295.png
    1.4 MB · Views: 2
Kumbe wewe ni hewa kabisa,,Yani tff na bodi ya ligi wamruhusu gsm kudhamini vilabu wakati wanajua anavunja Sheria na kanuni? Hii nchi Ina maana Haina ata wanasheria wanaojua kanuni na miongozo ya Sheria inayoongoza Mpira duniani? Unadhani ni rahisi tu kama unavyofikiria wewe kwamba ionekane gsm anavunja Sheria na asifikishwe na yeyote kwenye vyombo vya kimaamuzi vya Mpira? Kwa akili yako tu ndogo unadhani wenzako kwanini wamekaa kimya?
Ina maana ata viongozi wa Simba ni mbumbumbu pia kama mlivyo mashabiki kwamba awaelewi Sheria na kanuni za Mpira kumuacha gsm anatamba?
Eti Sheria zote za soka aziruhusu,,kama aziruhusu mmeshindwa nini kwenda kushtaki juu zaidi kwenye mamlaka za soka?
Ligi inapoanza uwa Kuna kanuni zinazoongoza ligi zilizowekwa na bodi ya ligi,,pia Kuna Sheria mama zinazoongoza Mpira duniani unadhani viongozi wako wamekaa kimya tu kwa kupenda juu ya ilo suala?
Wamekaa kimya kwasababu wanajua akuna Sheria Wala kipengele alichokivunja gsm!
Kwa maana iyo iyo usijifanye wewe ndio mjuaji ni akuna unachokijua zaidi ya bendera fata upepo,,Yani wewe ni aina ya wale mashabiki oya oya wanaokwenda na upepo wa maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa!
Kama anavunja kanuni na Sheria si mkashtaki kwenye vyombo vya kimaamuzi kule fifa ni nini kimewazuia siku zote hizo?
 
Onyesha jina la Mwigulu kwenye bodi ya wakurugenzi SBS
Tukikwambia wewe ni mbumbumbu unalia
Uyo jamaa ni hewa,,amna anachokijua zaidi ya mihemko tu,,anabeba anachokisikia kwenye vijiwe vya kahawa anapuyanga kukileta hapa,,Kila kitu kinaenda na evidence yeye kaingia king vile vile na habari zake za kuchota kwenye kahawa kwamba singida inamilikiwa na mwigulu ukimuuliza tuonyeshe ushahidi wa singida kumilikiwa na mwigulu atakwambia nimesikia watu wanasema hivyo🤣
 
Hata huyo mbwa mwenyewe anayebweka tumejipanga kumbabua tena!
 
Mashabiki "oya oya" ndio nyie wala mihogo mlioambiwa na Hersi mkae kimya. Yaani mnaishi kwa jero huku mkipiga kelele mkiamini hizo jero jero zenu zinatosha kulipa mishahara ya wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…