Katika maelezo yako umesema GSM ni mfadhili ila haujasema kama ni mdhamini. Nataka kuhakikisha kuwa ndicho ulichomaanisha.Ujaelewa nini labda? Rudia kusoma Tena!
Basi nenda kwa viongozi wako utapata ufafanuzi zaidi kwakuwa ujanielewaKatika maelezo yako umesema GSM ni mfadhili ila haujasema kama ni mdhamini. Nataka kuhakikisha kuwa ndicho ulichomaanisha.
Una roho ngumu sana. Kila siku unaaibika kwa hoja zako ila haukomi tu.Basi nenda kwa viongozi wako utapata ufafanuzi zaidi kwakuwa ujanielewa
Naaibika kwa lipi labda niambie bwana mbumbumbu!Una roho ngumu sana. Kila siku unaaibika kwa hoja zako ila haukomi tu.
Kama bado una kikokotoo chako ulichotumia kufuzu kuingia robo fainali, kaa upige mahesabu ni mara ngapi umekula za uso kuitetea Yanga yako.Naaibika kwa lipi labda niambie bwana mbumbumbu!
Si uzitaje hizo za uso ili zijulikaneKama bado una kikokotoo chako ulichotumia kufuzu kuingia robo fainali, kaa upige mahesabu ni mara ngapi umekula za uso kuitetea Yanga yako.
Lete tofauti ya Mo na GSMWewe ni Bora ukakaa kimya tu maana unajidhalilisha hapa,,kiufupi yanga haijapata mwekezaji,,yanga inae mfadhili wa klabu,,Simba ndio inae mwekezaji usiwe unapotosha watu!
Tofauti ya GSM wa Yanga na anayepeleka fedha za udhamini Dodoma Jiji ni ipi!?Mdhamini mkuu wa yanga ni sportpesa na mfadhili wa yanga ni gsm,,mfadhili anafadhili shughuli za uendeshaji wa timu kwa namna anavyoguswa,,na mdhamini ni yule aliyeingia makubaliano ya kisheria na klabu kwa mkataba maalum akiwa na nia ya kutangaza biashara zake kupitia klabu husika nadhani umenielewa!
Video: Saleh Jembe, Saleh Jembe, Saleh Jembe. Nimekuita mara tatu. JiangalieMpumbavu na mbumbumbu ni Bora ya nani? Mbumbumbu aelewi kitu chochote ndio kama wewe, auna hoja bali viroja,,nakwambia taja vifungu vya kisheria alivyovunja gsm kwa kudhamini timu zaidi ya Moja umeshindwa unaleta umbea wa mitaani,,sasa wewe tukuweke kundi Gani? Tabia ya umbea sio nzuri na tunajua uwa ni tabia za wanawake!
Bahati mbaya hata hayo mashindano ya hakina mama hammo.Ficha ujinga wako basi angalau kidogo, michuano ya wakinamama cup ndio unatuwekea hapa? Umemsikia Mosepe juzi alichokisema?