Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nimeipenda title ya thread yako, maana ni endelevu.... kila wwkichukuwa ubingwa, title inakulazimisha kuwa msimu inaofuata... MISIMU ITAFUATA SANA TU... UKIISHA HUU UNAANZA MWINGINE..nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri