Yanga msitegemee msimu ujao kuwa bingwa

nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
Nimeipenda title ya thread yako, maana ni endelevu.... kila wwkichukuwa ubingwa, title inakulazimisha kuwa msimu inaofuata... MISIMU ITAFUATA SANA TU... UKIISHA HUU UNAANZA MWINGINE..
 
Mimi simba ila ukweli ni kwamba kwa spidi hii na uongozi huu, yanga atachukua ubingwa mwezi wa tatu. Timu ya simba apewe Mo Dewji ndo akashindane na Manji.
 
mkuu sipingani na wew lakin naomba sababu zilizoshiba kwa nini YANGA asitegemee ubingwa msimu ujao? au ituambie timu gani itegemee ubingwa msimu ujao na kwasababu zipi za kiufundi ukiachana na sababu za kishabiki
Mkuu, kila msimu ni msimu ujao kwa uliopita.... hata huu msimu wa Yanga kuwa bingwa ni ujao kwa msimu wa mwaka jana.... ASEME MSIMU UJAO NDO UPI..?
 
nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
Wewe popoma njoo ule matapishi yako,ukome kuleta unazi wako huku.
Kawaambie mikia wenzio wa kimataifa Yanga ndio mabingwa tena.
(Japo habari wanazo)
 
Simba ni mbovu haiwezi kuwa bingwa kwa miaka 5 ijayo lazima ifanye mabadiliko makubwa
 
Yaani wewe unachekesha kweli unaanza utabiri wa msimu ujao na wakati bado uko kitanzini hujalipa deni timu mbovu viongozi hawajitambui wachezaji njaa mashabiki wamejitoa ufahamu wameanza utabiri kabla ya ligi kwisha hii ni shida kupaniki ni kubaya jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…