Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Tunaenda kudhalilika haswahahahaha inauma sana pale viongozi wanapotufanya wote vilaza.
ila mkwasa ameshazoea kupgwa 7 hivo haoni uchungu kutudhalilisha hko.
Yanga inaweza kujiendesha yenyewe. Kinachotakiwa ni uongozi makini na ulioenda shule.Timu inapitia wakati mgumu azam na simba walitupora wachezaji kwenye usajili kutokana na bajeti ndogo kumbuka waziri junior alivyochukuliwa. Hivyo inaitajika jitiada za haraka kusaidia timu . Sio busara kuwalaumu wakina mkwasa wamejitaidi sana
Kelele za milioni 600 zimeishia wapi?? Natamani mpigwe hata goli 100 kabsaaaaa!Mnaleta siasa kwenye soka??
Ajib mke wake mjamzito hvyo kashindwa kusafiri na timu, tshitshimbi mgonjwa toka lini??
Semeni tu hali ni mbaya huko klabuni acheni kuzunguka mbuyuu
Acha uzwazwa wewe,,hujui yanga akifika mbali ndio ligi yetu inapata advatage kubwa???Kelele za milioni 600 zimeishia wapi?? Natamani mpigwe hata goli 100 kabsaaaaa!
Nilicheka sana kwa sababu hata mda dismas anaongea alishindwa kujizuia akawa anatabasamuMkwasa hajui hta kutafuta visingizio vyenye tija " eti ajib amebaki kwa sababu mke wake anatarajia kujifungua" WTF!!!!!!
Matumaini hewa!Acha uzwazwa wewe,,hujui yanga akifika mbali ndio ligi yetu inapata advatage kubwa???
Kwanza mnapangiwa opponent wepesi kwenye michuano ijayo
Pili mnapata nafasi yakupeleka timu nyingi zaidi kwenye michuano ijayo
Tatu TFF wanapata gawaio au salio kutoka CAF
Nendeni mkambembeleze ManjiTimu inapitia wakati mgumu azam na simba walitupora wachezaji kwenye usajili kutokana na bajeti ndogo kumbuka waziri junior alivyochukuliwa. Hivyo inaitajika jitiada za haraka kusaidia timu . Sio busara kuwalaumu wakina mkwasa wamejitaidi sana
Yanga hachezi leoMatumaini hewa!
Kandambili hawezi kufika popote ataishia kuliwa tuu! Subiri Leo usikie haluaaa haluaaaaaa
Matumaini hewa!
Kandambili hawezi kufika popote ataishia kuliwa tuu! Subiri Leo usikie haluaaa haluaaaaaa