Yanga msitufanye watoto

Yanga msitufanye watoto

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Mnaleta siasa kwenye soka??

Ajib mke wake mjamzito hvyo kashindwa kusafiri na timu, tshitshimbi mgonjwa toka lini??

Semeni tu hali ni mbaya huko klabuni acheni kuzunguka mbuyuu
 
hahahaha inauma sana pale viongozi wanapotufanya wote vilaza.
ila mkwasa ameshazoea kupgwa 7 hivo haoni uchungu kutudhalilisha hko.
 
Timu inapitia wakati mgumu azam na simba walitupora wachezaji kwenye usajili kutokana na bajeti ndogo kumbuka waziri junior alivyochukuliwa. Hivyo inaitajika jitiada za haraka kusaidia timu . Sio busara kuwalaumu wakina mkwasa wamejitaidi sana
 
ukiwa na kiongozi kama MKEMI ni kama anavuta majani tu unategemea nini.Pale wanatakiwa TAKUKURU waende wakakague vitabu vyao na wengine wawekwe ndani kama kina kaburu
 
Timu inapitia wakati mgumu azam na simba walitupora wachezaji kwenye usajili kutokana na bajeti ndogo kumbuka waziri junior alivyochukuliwa. Hivyo inaitajika jitiada za haraka kusaidia timu . Sio busara kuwalaumu wakina mkwasa wamejitaidi sana
Yanga inaweza kujiendesha yenyewe. Kinachotakiwa ni uongozi makini na ulioenda shule.
Kuongoza club kama ile kunahitaji wasomi. Pesa itapatikana tu.
 
Leo watagongwa 8 Bila, halua haluaaa
 
Mnaleta siasa kwenye soka??

Ajib mke wake mjamzito hvyo kashindwa kusafiri na timu, tshitshimbi mgonjwa toka lini??

Semeni tu hali ni mbaya huko klabuni acheni kuzunguka mbuyuu
Kelele za milioni 600 zimeishia wapi?? Natamani mpigwe hata goli 100 kabsaaaaa!
 
Kelele za milioni 600 zimeishia wapi?? Natamani mpigwe hata goli 100 kabsaaaaa!
Acha uzwazwa wewe,,hujui yanga akifika mbali ndio ligi yetu inapata advatage kubwa???

Kwanza mnapangiwa opponent wepesi kwenye michuano ijayo

Pili mnapata nafasi yakupeleka timu nyingi zaidi kwenye michuano ijayo

Tatu TFF wanapata gawaio au salio kutoka CAF
 
Mkwasa hajui hta kutafuta visingizio vyenye tija " eti ajib amebaki kwa sababu mke wake anatarajia kujifungua" WTF!!!!!!
Nilicheka sana kwa sababu hata mda dismas anaongea alishindwa kujizuia akawa anatabasamu
 
Acha uzwazwa wewe,,hujui yanga akifika mbali ndio ligi yetu inapata advatage kubwa???

Kwanza mnapangiwa opponent wepesi kwenye michuano ijayo

Pili mnapata nafasi yakupeleka timu nyingi zaidi kwenye michuano ijayo

Tatu TFF wanapata gawaio au salio kutoka CAF
Matumaini hewa!

Kandambili hawezi kufika popote ataishia kuliwa tuu! Subiri Leo usikie haluaaa haluaaaaaa
 
Timu inapitia wakati mgumu azam na simba walitupora wachezaji kwenye usajili kutokana na bajeti ndogo kumbuka waziri junior alivyochukuliwa. Hivyo inaitajika jitiada za haraka kusaidia timu . Sio busara kuwalaumu wakina mkwasa wamejitaidi sana
Nendeni mkambembeleze Manji
 
Ni upumbafu grade wanu kulia njaa wakati mmepewa m 600 sasa mbashindwa vipi kuzitumia kenge nyie wakati mnakozitumia ndiko zilikotoka.
Unashindwa kuuza mahindi uliyovuna ununue pembejeo unaanza kulia njaa.
Msitusumbue hapa kama pesa imeliwa na wajanja semeni ili tuliambie jiwe liwasaidie.
 
Ila CAF wanatoa hizo fedha baada makundi kumalizika na sio sasa hivi mana kuna ongezeko kila nafasi nzuri timu ikishika katika kundi lake..Bado mpunga haujatema ila dah Yanga ya sasa Mungu tu anajua
 
Matumaini hewa!

Kandambili hawezi kufika popote ataishia kuliwa tuu! Subiri Leo usikie haluaaa haluaaaaaa

Mbumbumbu mumesahau mlishia njiani.

Tatizo la hizi Club kuna watu wapo pale ili wapige pesa, watu wanaishi mjini kwa kutegemea Yanga inafika hadi hatua wanawasahau wachezaji yaani wao wanachojua ni kupiga pesa tu.

Yanga wanawadhamini kama sportpesa nk pia kuna mapato uwanjani ila unashangaa kusikia wachezaji hawajalipwa mishahara miezi 3, uongozi uache kuendekeza watu kama mzee akilimali uobgozi ujitahidi kuthamini wachezaji na benchi la ufundi maana wao ndio kila kitu.
 
Mbumbumbu mumesahau mlishia njiani.

Tatizo la hizi Club kuna watu wapo pale ili wapige pesa, watu wanaishi mjini kwa kutegemea Yanga inafika hadi hatua wanawasahau wachezaji yaani wao wanachojua ni kupiga pesa tu.

Yanga wanawadhamini kama sportpesa nk pia kuna mapato uwanjani ila unashangaa kusikia wachezaji hawajalipwa mishahara miezi 3, uongozi uache kuendekeza watu kama mzee akilimali uongozi ujitahidi kuthamini wachezaji na benchi la ufundi maana wao ndio kila kitu.
 
Back
Top Bottom