mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,181
Mkuu unaelewa maana na "Paternity leave"kama hujui sema tukwambie ndipo uelewe maana jitahidi kupunguza mihemkoMkwasa hajui hta kutafuta visingizio vyenye tija " eti ajib amebaki kwa sababu mke wake anatarajia kujifungua" WTF!!!!!!
Sijawahi kumkubali Mkwasa akiwa kama kocha au kiongozi japo alikua mahiri sana enzi zake kama mchezajiMkwasa hajui hta kutafuta visingizio vyenye tija " eti ajib amebaki kwa sababu mke wake anatarajia kujifungua" WTF!!!!!!
Yanga inaweza kujiendesha yenyewe. Kinachotakiwa ni uongozi makini na ulioenda shule.
Kuongoza club kama ile kunahitaji wasomi. Pesa itapatikana tu.
In 21st century timu inategemea pesa ya mtu mfukoni, kweli!? Timu yenye fan base of more than 15m...kweli!? Bado unashindwa kuamini kuwa mtu mweusi ana tatizo la asili kwa meandeleo...eti Yanga haina pesa ya kulipa mshahara of 20 players na 5 stuff... ha ha ha... AFRICA OOH AFRICA...Mnaleta siasa kwenye soka??
Ajib mke wake mjamzito hvyo kashindwa kusafiri na timu, tshitshimbi mgonjwa toka lini??
Semeni tu hali ni mbaya huko klabuni acheni kuzunguka mbuyuu
Ni maajabu kwakweliIn 21st century timu inategemea pesa ya mtu mfukoni, kweli!? Timu yenye fan base of more than 15m...kweli!? Bado unashindwa kuamini kuwa mtu mweusi ana tatizo la asili kwa meandeleo...eti Yanga haina pesa ya kulipa mshahara of 20 players na 5 stuff... ha ha ha... AFRICA OOH AFRICA...
Akishajifungua ndio mtu anapata paternity leave sio anatarajia kujifungua jiongeze mkuuMkuu unaelewa maana na "Paternity leave"kama hujui sema tukwambie ndipo uelewe maana jitahidi kupunguza mihemko
Ni maajabu kwakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkwasa hajui hta kutafuta visingizio vyenye tija " eti ajib amebaki kwa sababu mke wake anatarajia kujifungua" WTF!!!!!!
NakaziaMatumaini hewa!
Kandambili hawezi kufika popote ataishia kuliwa tuu! Subiri Leo usikie haluaaa haluaaaaaa
Hiyo pesa haitolewi sasa, mpaka mechi zote za makundi zichezwe na ijulikane wa kwanza hadi wa mwisho. Hiyo milioni 600,ni za timu itakayokamata mkia. Yanga wana uhakika wa kuzipata hata kama watakamata mkia, lakini si sasa.Ni upumbafu grade wanu kulia njaa wakati mmepewa m 600 sasa mbashindwa vipi kuzitumia kenge nyie wakati mnakozitumia ndiko zilikotoka.
Unashindwa kuuza mahindi uliyovuna ununue pembejeo unaanza kulia njaa.
Msitusumbue hapa kama pesa imeliwa na wajanja semeni ili tuliambie jiwe liwasaidie.
Mbona mbwembwe zao washatuaminisha wamepewa cheki.Ovyo sana basi wakope.Hiyo pesa haitolewi sasa, mpaka mechi zote za makundi zichezwe na ijulikane wa kwanza hadi wa mwisho. Hiyo milioni 600,ni za timu itakayokamata mkia. Yanga wana uhakika wa kuzipata hata kama watakamata mkia, lakini si sasa.
Mbona mbwembwe zao washatuaminisha wamepewa cheki.Ovyo sana basi wakope.Hiyo pesa haitolewi sasa, mpaka mechi zote za makundi zichezwe na ijulikane wa kwanza hadi wa mwisho. Hiyo milioni 600,ni za timu itakayokamata mkia. Yanga wana uhakika wa kuzipata hata kama watakamata mkia, lakini si sasa.
Ni kweli akijifungua atapewa 3 days za kushughulikia familia, kiukweli sababu zao ziko too weak! Mm hazijaniingia akilini kabisa, bora sababu ya majeruhi inatubidi tuamini tu! Mm nahisi kuna tatizo katika yanga, pia makocha waliopo nao siwaelewi hata kidogo. Timu inazuia mda wote hakuna mbinu nyingine waliyonayo, timu iko taratibu mnooo! Sasa huku kwenye makundi siyo mtoano lkn utashangaa tunazuia mda wote! Mm nadhani tungewatumia tu vijana haina namna mkomola apewe nafasi aongoze safu ya ushambuliaji!Akishajifungua ndio mtu anapata paternity leave sio anatarajia kujifungua jiongeze mkuu