Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Itakuwa nisababu ya msingi. Unafaya mchezo na mke wewe?? Navyojua Ajibu sio mchezaji nyota ambaye eti nitegemeo sana pale yanga. Kule simba kwenyewe pamoja na kwamba kikosi hakikuwa kizuri alikuwa anakaa benchi. Itakuwa mkewe kesha ambiwa atajifungua kwa shida na hata mimi nisingeweza kusafiri.Mkwasa hajui hta kutafuta visingizio vyenye tija " eti ajib amebaki kwa sababu mke wake anatarajia kujifungua" WTF!!!!!!
Ahahahaha we jamaa serikali yenyewe haitoi, ko yanga ndo mmeanza kutoa kwa ajibuMkuu unaelewa maana na "Paternity leave"kama hujui sema tukwambie ndipo uelewe maana jitahidi kupunguza mihemko
Mkuu kwani YANGA ni taasis ya serikali hadi uihusishe na serikali?Ahahahaha we jamaa serikali yenyewe haitoi, ko yanga ndo mmeanza kutoa kwa ajibu
Nashangaa walichokifanya Yanga wakati wana mechi muhimu.Mkuu kwani YANGA ni taasis ya serikali hadi uihusishe na serikali?
Bahati mbaya mimi sio mpenzi wa YANGA chief,pole sanaNashangaa walichokifanya Yanga wakati wana mechi muhimu.
Ila najua unaelewa kua hilo halina ukweli sema wameamua kuwapoza nyie mashabiki wao.
Vzr kumbe, kumbe wa mtaa wa msimbaziBahati mbaya mimi sio mpenzi wa YANGA chief,pole sana
Mkuu hyo huwa inatolewa afta deliveryMkuu unaelewa maana na "Paternity leave"kama hujui sema tukwambie ndipo uelewe maana jitahidi kupunguza mihemko
Kuna mtu amesema hata serikali hawatoi paternity leave soma comments utamjuaMkuu hyo huwa inatolewa afta delivery
Kaghafilika mkuu msameheKuna mtu amesema hata serikali hawatoi paternity leave soma comments utamjua
tunaona kina Ozil wanafunga magoli wakishangilia kujifungua wake zao sembuse Ajib!Mkuu unaelewa maana na "Paternity leave"kama hujui sema tukwambie ndipo uelewe maana jitahidi kupunguza mihemko
Hata Ajib ni haki yake kuwa na mkewe kwani kuna ubayatunaona kina Ozil wanafunga magoli wakishangilia kujifungua wake zao sembuse Ajib!
du hukunielewa kabisa weye!Hata Ajib ni haki yake kuwa na mkewe kwani kuna ubaya
Sasa shishimbi ambaye ukimwacha na goal keeper anapaisha wa nini?Mnaleta siasa kwenye soka??
Ajib mke wake mjamzito hvyo kashindwa kusafiri na timu, tshitshimbi mgonjwa toka lini??
Semeni tu hali ni mbaya huko klabuni acheni kuzunguka mbuyuu
Itakuwa nisababu ya msingi. Unafaya mchezo na mke wewe?? Navyojua Ajibu sio mchezaji nyota ambaye eti nitegemeo sana pale yanga. Kule simba kwenyewe pamoja na kwamba kikosi hakikuwa kizuri alikuwa anakaa benchi. Itakuwa mkewe kesha ambiwa atajifungua kwa shida na hata mimi nisingeweza kusafiri.
Inaoneka wazi umezaliwa nje ya ndoawangetoa full statement kuwa mke wa ajibu yupo kwenye critical situation, hpo ningeelewa na Sio kusema tu eti amebaki kwa sababu ya mke wake kujifungua
.....watoto wangapi wamezaliwa bila baba zao kuwepo kbsa nchini?
Inaoneka wazi umezaliwa nje ya ndoa