Yanga msitufanye watoto

Yanga msitufanye watoto

Mkwasa hajui hta kutafuta visingizio vyenye tija " eti ajib amebaki kwa sababu mke wake anatarajia kujifungua" WTF!!!!!!
Itakuwa nisababu ya msingi. Unafaya mchezo na mke wewe?? Navyojua Ajibu sio mchezaji nyota ambaye eti nitegemeo sana pale yanga. Kule simba kwenyewe pamoja na kwamba kikosi hakikuwa kizuri alikuwa anakaa benchi. Itakuwa mkewe kesha ambiwa atajifungua kwa shida na hata mimi nisingeweza kusafiri.
 
Mkuu unaelewa maana na "Paternity leave"kama hujui sema tukwambie ndipo uelewe maana jitahidi kupunguza mihemko
Ahahahaha we jamaa serikali yenyewe haitoi, ko yanga ndo mmeanza kutoa kwa ajibu
 
Mkuu kwani YANGA ni taasis ya serikali hadi uihusishe na serikali?
Nashangaa walichokifanya Yanga wakati wana mechi muhimu.
Ila najua unaelewa kua hilo halina ukweli sema wameamua kuwapoza nyie mashabiki wao.
 
Nashangaa walichokifanya Yanga wakati wana mechi muhimu.
Ila najua unaelewa kua hilo halina ukweli sema wameamua kuwapoza nyie mashabiki wao.
Bahati mbaya mimi sio mpenzi wa YANGA chief,pole sana
 
Tatizo hamsemi,leteni proposal mseme mnataka sh.ngapi?Mnalia njaa wakati pesa iko kwa watu?
 
Mnaleta siasa kwenye soka??

Ajib mke wake mjamzito hvyo kashindwa kusafiri na timu, tshitshimbi mgonjwa toka lini??

Semeni tu hali ni mbaya huko klabuni acheni kuzunguka mbuyuu
Sasa shishimbi ambaye ukimwacha na goal keeper anapaisha wa nini?
 
Itakuwa nisababu ya msingi. Unafaya mchezo na mke wewe?? Navyojua Ajibu sio mchezaji nyota ambaye eti nitegemeo sana pale yanga. Kule simba kwenyewe pamoja na kwamba kikosi hakikuwa kizuri alikuwa anakaa benchi. Itakuwa mkewe kesha ambiwa atajifungua kwa shida na hata mimi nisingeweza kusafiri.

wangetoa full statement kuwa mke wa ajibu yupo kwenye critical situation, hpo ningeelewa na Sio kusema tu eti amebaki kwa sababu ya mke wake kujifungua

.....watoto wangapi wamezaliwa bila baba zao kuwepo kbsa nchini?
 
Inaoneka wazi umezaliwa nje ya ndoa
 
Back
Top Bottom