acha kwanza tusote, swaumu itupige kisawasawa ili siku mwekezaji akijitokeza tuungane kumpa timu.Tatizo hamsemi,leteni proposal mseme mnataka sh.ngapi?Mnalia njaa wakati pesa iko kwa watu?
1. hatuna kocha wa maana. Tumeokota tu kocha ambae hana hata CV kwenye soka la afrikaYanga tutafungwa na gor mahia game ijayo,,, nimeangalia mpira wao na rayon sports Leo,,, kwa ufupi tujiandae kisaikolojia kushika mkia kwenye kundi.
Kinachouma zaidi eti Mkemi ni head wa marketing department ya timu,,
Yanga tutafungwa na gor mahia game ijayo,,, nimeangalia mpira wao na rayon sports Leo,,, kwa ufupi tujiandae kisaikolojia kushika mkia kwenye kundi.
Kinachouma zaidi eti Mkemi ni head wa marketing department ya timu,,
Mkuu una chuki na Yanga sana,ilikufanyaje?Kelele za milioni 600 zimeishia wapi?? Natamani mpigwe hata goli 100 kabsaaaaa!