Yanga msiwapange hawa siku ya mechi vs Simba

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
NDUGU WANACHAMA WAPENZI WA YANGA HONGEREN KWA USHINDI WA SIMBA..LABDA CHA KUONGEZA TU N KUHUSU WACHEZAJI.WA YANGA WANAOISALITI YANGA SIKU TUNACHEZA NA.SIMBA

NIOMBE TU KAMA KOCHA UNAWEZA USIWAPANGE MSUVA NA HARUNA MECHI ZA SIMBA KWAMAPENZI YA YANGA...NIWAKUMBUSHE TU NA HUZUNI KUBWA YA BAO 3-3 ILE SITOISAHAU..KILICHOTOKEA PALE BAADA YA MAPUMZIKO.MECHI YA 3-3. MUUNGWANA MMOJA ANAKAAGA BENCH YA YANGA ALIPIGIWA SIMU NA KIONGOZI WA YANGA MS..HUYU BWANA ALITOA MILLION MBILI NA NANUSU KUWARUSHIA WACHEZAJI WANNE WA YANGA..LAK 5..NAMMOJA AKALAMBA MILLION MOJA.. MAAGIZO HAYA YALITOKA KWA KIONGOZI MMOJA WA SIMBA MWENYE JINA.LA MAPINDUZI YA NCHI MOJA YA SAFRICA AKIMTUMIA.MS WA YANGA..KWA WASIOJUA.WACHEZAJI.WALIOLAMBA N.PAMOJA NAHAO.NIMEWEKA MAJINA YAO..NA MLIONA KILICHOTOKEA

KUWAKUMBSHA TU MAJUZI TULIKUWA TUNAPIGWA TATU TENA KAMA SiO BAADHI YA WACHEZAJI WA NJE.KUGOMA KUSAlITI PROF ZAO..NA WACHEZAJI N WALE WALE WALIOTAKA KUTUUZA...IKUMBUKWE MSUVA AKUTAKIWA KUENDELEA BAADA YA DK 20..ALICHEZA UPUUZI MTUPU..HATA HARUNA AKUWA HARUNA ANAECHEZA NA.AZAM AMA MWADHI AMA MTIBWA...N WAKATI WA KUANZA KUWAOGOPA SaNA KULINDA HADHIYA YANGA..DK ZA MWISHO WENYE VIDEO ANGALIEN HARUNA ALIENDA NYUMA NA KUNA.MPIRA.ALIKUWA NAO BADALAYA KUPIGA MBELE AKAUKATA FYONGO IKAMKUTA.MCHEZAJI WA SIMBA PALE WANGERUDISHA MOJA ILIKUWA TUNAACHIA.NA.LA PILI SHUKRAN.KWA HAJI.ALIETOA MPIRA NJE. AKIWA.KARIBU NA.LANGO

N WAZI si WACHEZAJI.WA KUTEGEMEA"""NAJUA WEMGI.MLILAUMU KUONDOKA HK DIEGO WAYANGA ..NIWAJUZE HUYU NAE ALIKUWA.MKUMBO WA KUISALITI YANGA MECHI ZA SIMBA..NAONGEA TOKA MOYONI ALIWAHI KUKAA NA KIONGOZI MMOJA WA SIMBA MBEZIBEACH BAR MOJA ILIKUWA N WIKI.NNE KABLA YA MECHI.NA.SIMBA NA. ALIWEZA KUMHAKIKISHIS USHINDI WA SIMBA....BINAFSI NILIFURAHI KUONDOKA.KWAKE NA HATA SASA SIMBA KUMEKUCHA ANATUHUMIWA KUCHEZA CHINI YA KIWANGO KUHUJUMU TIMU..ANYWAY YA SIMBA TUWAACHIE NGOSWE..
 
".. yule Msuva ni kijana wetu." ~ Zacharia Hans Pope
 
Nadhani kocha waliona hilo ndio maana wakamtoa msuva mapema
 
Hebu tuachage stori za mitaani, msuva si ndie aliyesawazisha bao mechi ya simba na yanga ya bao 1_1...huyu tambwe naye si aliyekuwa anasemwa kuwa ni mamluki?...katika nyanja ambayo haibadiliki katika soka la bongo ni pitch za viwanja na akili za mashabiki...
Sishangai hata okwi kunakipindi alikuwa anashutumiwa kuwa ni yanga,mashabiki watz tubadilike mpira ni maisha ya watu. ..
 
Mkuu lisemwalo lipo,wala usiumize kichwa,mikia hawana timu ya kutufunga ss km wanavyotufungaga
 
Huwezi kwenda unguja ukapata ushindi kwa alieenda Pemba never subirini wa kimataifa aende b'moyo ndo mxhinde nyie wamchangani
 
NDUGU WANACHAMA WAPENZI WA YANGA HONGEREN KWA USHINDI WA SIMBA..LABDA CHA KUONGEZA TU N KUHUSU WACHEZAJI.WA YANGA WANAOISALITI YANGA SIKU TUNACHEZA NA.SIMBA

NIOMBE TU KAMA KOCHA UNAWEZA USIWAPANGE MSUVA NA HARUNA MECHI ZA SIMBA KWAMAPENZI YA YANGA...NIWAKUMBUSHE TU NA HUZUNI KUBWA YA BAO 3-3 ILE SITOISAHAU..KILICHOTOKEA PALE BAADA YA MAPUMZIKO.MECHI YA 3-3. MUUNGWANA MMOJA ANAKAAGA BENCH YA YANGA ALIPIGIWA SIMU NA KIONGOZI WA YANGA MS..HUYU BWANA ALITOA MILLION MBILI NA NANUSU KUWARUSHIA WACHEZAJI WANNE WA YANGA..LAK 5..NAMMOJA AKALAMBA MILLION MOJA.. MAAGIZO HAYA YALITOKA KWA KIONGOZI MMOJA WA SIMBA MWENYE JINA.LA MAPINDUZI YA NCHI MOJA YA SAFRICA AKIMTUMIA.MS WA YANGA..KWA WASIOJUA.WACHEZAJI.WALIOLAMBA N.PAMOJA NAHAO.NIMEWEKA MAJINA YAO..NA MLIONA KILICHOTOKEA

KUWAKUMBSHA TU MAJUZI TULIKUWA TUNAPIGWA TATU TENA KAMA SiO BAADHI YA WACHEZAJI WA NJE.KUGOMA KUSAlITI PROF ZAO..NA WACHEZAJI N WALE WALE WALIOTAKA KUTUUZA...IKUMBUKWE MSUVA AKUTAKIWA KUENDELEA BAADA YA DK 20..ALICHEZA UPUUZI MTUPU..HATA HARUNA AKUWA HARUNA ANAECHEZA NA.AZAM AMA MWADHI AMA MTIBWA...N WAKATI WA KUANZA KUWAOGOPA SaNA KULINDA HADHIYA YANGA..DK ZA MWISHO WENYE VIDEO ANGALIEN HARUNA ALIENDA NYUMA NA KUNA.MPIRA.ALIKUWA NAO BADALAYA KUPIGA MBELE AKAUKATA FYONGO IKAMKUTA.MCHEZAJI WA SIMBA PALE WANGERUDISHA MOJA ILIKUWA TUNAACHIA.NA.LA PILI SHUKRAN.KWA HAJI.ALIETOA MPIRA NJE. AKIWA.KARIBU NA.LANGO

N WAZI si WACHEZAJI.WA KUTEGEMEA"""NAJUA WEMGI.MLILAUMU KUONDOKA HK DIEGO WAYANGA ..NIWAJUZE HUYU NAE ALIKUWA.MKUMBO WA KUISALITI YANGA MECHI ZA SIMBA..NAONGEA TOKA MOYONI ALIWAHI KUKAA NA KIONGOZI MMOJA WA SIMBA MBEZIBEACH BAR MOJA ILIKUWA N WIKI.NNE KABLA YA MECHI.NA.SIMBA NA. ALIWEZA KUMHAKIKISHIS USHINDI WA SIMBA....BINAFSI NILIFURAHI KUONDOKA.KWAKE NA HATA SASA SIMBA KUMEKUCHA ANATUHUMIWA KUCHEZA CHINI YA KIWANGO KUHUJUMU TIMU..ANYWAY YA SIMBA TUWAACHIE NGOSWE..

mi nilikuwa nahisi tu kumbe yaweza kuwa kweli eee!!!
 
Pdidy, kuna ukweli fulani kwenye hoja yako. Niyo hucheza diagonal pass kwenye mechi za mikia na Azam. Hii ni mara nyingi sana kutokea. Nashukuru kuwepo viungo wengi wenye viwango kumeuweka rehani ufalme wa Niyo
 
Last edited by a moderator:
nionzima alibadili mfumo wa kucheza alikuwa akipiga chenga anatoa pasi haraka msuva alikamia sana na alifikwa na hali ya kizunguzungu akawa anaanguka anguka
 
Back
Top Bottom