Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Ni muda mrefu kiasi umepita toka nilipoa andika uzi kuhusiana na club ya yanga.
www.jamiiforums.com
Yanga wanazidi kuonesha makubwa ambayo niliyaandika katika uzi ulopita.
Leo kabla ya mechi ya leo dhidi ya wapinzani wao natangulisha pongezi kwa club ya yanga kwa hatua walofikia pia kwa mashabiki wa yanga
Bila kuwasahau watanzania wote wapenda mpira.
Nafasi ya yanga bado naona ni kubwa sana katika kutwaa kombe hili maana hari waliyo nayo ni kubwa mno.
Msimu bora kwa Kikosi kilicho bora Tanzania
Salam kwa JF member wote IKUMBUKWE *Sina upendeleo na klab yoyote *Si mtaalam sana wa mpira wa miguu *Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo 2023 kwa kiasi flani YANGA WANAMSIMU MZURI TOKA 2022 NA UZURI HUO UNAWEZA KUFIKA 2025 Haya nayaandika...