Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mchezaji sio taasisi, Mchezaji ni nafsi huru, ni takwa la nafsi, ni hiyari ya nafsi na takwa la mtu binafsi, mchezaji ni mwanadamu kwa maana hiyo ana utashi binafsi, kitu pekee kinachomfanya mtu akacheza kwa bidii zote ni GUTS, ipeni nafsi yake uhuru, mkimng'ang'ania sana kinyume na nafsi yake inavyomtuma mwishowe ata underperform, kwa sababu huyo ni mwanadamu na siyo mashine unayoweza kuioperate upendavyo, Allow him to explore others places, na ndio uungwana wa kimichezo.