Yanga Mungu anawaona, masikini Ajibu Battery low

Kweli ajibu battery low angalia amevaa yebo za mwanae wa KIKE mwenye miaka 6

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Hajachangamka kabisa tangu ahamie kwa nzi wa kijani. Ngoja tusubiri mitanange ianze!

Arage Jekundu.
 
Hangover ya Ajibu itachukua muda sana kuwatoka mikia,na mwaka huu tunachukua VPL tena tunataka safari hii mkashtaki mbinguni kabisa maana FIFA hawatendi haki [emoji23][emoji23]
 
Watakatishaji fc mnaweweseka sana...ngoja ligi ianze mkang'oe viti uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…