Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya mbu x 3Hizi nguvu mngeziwekeza kwenye timu yenu pengine leo mngekua fainali hata Azam federation cup
Unaambiwa mgunda hasi sasa hajatoka masjid utopolo kazi wanayo kesho."Hii mvua imetushangaza sana, Wachezaji wa Yanga wakishambulia sana lango la USM Algiers na yenyewe inaongezeka, ila Waarabu wakiwa wanashambulia lango la Yanga inapungua.
Halafu timu zilipoenda mapumziko mvua nayo ikaenda mapumziko (ikakatika), timu ziliporudi uwanjani na yenyewe ikarudi. Hii maana yake ni nini? Ni mvua ya namna gani hii?" - Alisikika shabiki wa Yanga aliyekuwepo pale kwa Mkapa akiongea kwa uchungu mkubwa.
Nyie si mlimtukana Mgunda bila kosa? Wazee wa Tanga walikasirika sana, sasa mtakula jeuri yenu.
Tuweke nguvu au tusiweke, kesho lazima mpigweHizi nguvu mngeziwekeza kwenye timu yenu pengine leo mngekua fainali hata Azam federation cup
Badamu batamwagika...
Mvua ikinyesha vyura wanakimbilia ndani...ww fatilia uone..Wakikikumbuka kile kipigo Cha derby 2-O na Ile mvua wanahisi kipigo kinajirudia rudia na hiyo ndio laana Yao Toka kwa mgunda.
Na iwe hivyo na kuzidi kidogo🤣😂Tena kipigo Cha paka shume.
Poleni ninyi, sisi tuna furaha meshapigwaUnga fc mnaumia sana daah poleni
Ni mpaka ikate na kubaki madimbwi na tope ndo utasikia yanapiga keleleMvua ikinyesha vyura wanakimbilia ndani...ww fatilia uone..