Yanga mwacheni Feitoto aende Azam , Haipendi timu yenu , anapenda hela

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ndio ukweli ulio wazi , huyu Mchezaji kwa namna alivyofanya ni kwamba haitaki Yanga , anachotaka ni hela za Azam , hata kama hakufuata utaratibu , lakini nia yake ya kuondoka Yanga iko palepale , mwacheni aende atakapo .

Nafahamu kwamba akishatoka Yanga huenda mpira wake ukawa ndio basi tena , maana tunawajua wazee wa misumali , lakini yeye ndio kishaamua , hata kama ni kuchagizwa na uzanzibar , ndio ishakuwa , mwacheni aende zake .

Hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Wewe ni msemaji wake.
Chanzo(source) cha habari hii kiko wapi?
Weka mazungumzo ya pande zote mbili ili tuamini hii habari. Mfano weka clip au maandishi yakionyesha Fei akizuiwa kuondoka pamoja na vyanzo vingine vya habari.
 
Kwamba hulijui hili ?
 
Huu ndio ukweli ulio wazi , huyu Mchezaji kwa namna alivyofanya ni kwamba haitaki Yanga , anachotaka ni hela za Azam , hata kama hakufuata utaratibu , lakini nia yake ya kuondoka Yanga iko palepale , mwacheni aende atakapo .

Nafahamu kwamba akishatoka Yanga huenda mpira wake ukawa ndio basi tena , maana tunawajua wazee wa misumali , lakini yeye ndio kishaamua , hata kama ni kuchagizwa na uzanzibar , ndio ishakuwa , mwacheni aende zake .

Hakuna marefu yasiyo na ncha
ni kweli aende lakini kwa kuzingatia kanuni za tff na fifa
 
Mpira ni pesa mapenzi ya yanga hayana msaada wowote kwenye maisha yake ,mwisho anastafuu hana hata nyumba kisa kuendekeza mapenzj ya yangaa yaangaaa pumbavu sanaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Fei mapenzi achia kina sharukani ,mpira ni helaaa tu..
 
Kama ambavyo Mbowe anapenda hela za ruzuku 😅😅
 
Back
Top Bottom