Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu ndio ukweli ulio wazi , huyu Mchezaji kwa namna alivyofanya ni kwamba haitaki Yanga , anachotaka ni hela za Azam , hata kama hakufuata utaratibu , lakini nia yake ya kuondoka Yanga iko palepale , mwacheni aende atakapo .
Nafahamu kwamba akishatoka Yanga huenda mpira wake ukawa ndio basi tena , maana tunawajua wazee wa misumali , lakini yeye ndio kishaamua , hata kama ni kuchagizwa na uzanzibar , ndio ishakuwa , mwacheni aende zake .
Hakuna marefu yasiyo na ncha