Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwamba hulijui hili ?Wewe ni msemaji wake.
Chanzo(source) cha habari hii kiko wapi?
Weka mazungumzo ya pande zote mbili ili tuamini hii habari. Mfano weka clip au maandishi yakionyesha Fei akizuiwa kuondoka pamoja na vyanzo vingine vya habari.
ni kweli aende lakini kwa kuzingatia kanuni za tff na fifaHuu ndio ukweli ulio wazi , huyu Mchezaji kwa namna alivyofanya ni kwamba haitaki Yanga , anachotaka ni hela za Azam , hata kama hakufuata utaratibu , lakini nia yake ya kuondoka Yanga iko palepale , mwacheni aende atakapo .
Nafahamu kwamba akishatoka Yanga huenda mpira wake ukawa ndio basi tena , maana tunawajua wazee wa misumali , lakini yeye ndio kishaamua , hata kama ni kuchagizwa na uzanzibar , ndio ishakuwa , mwacheni aende zake .
Hakuna marefu yasiyo na ncha
Ndiyo motivated things mkuu. Sisi ma-HR TUNAMPONGEZAHela ndo kila kitu