Yanga na GSM waitapeli Mtibwa Sugar

Yanga na GSM waitapeli Mtibwa Sugar

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
MTIBWA SC WATOKA MAFICHONI, WADAI YANGA HAWAJAWALIPA PESA YA MSHERI

"Yalifanyika makubaliano ya pande mbili tukiamini Yanga ni watu wazima na watatelekeza mkataba unavyosema, lakini mpaka sasa hakuna hata moja lililofanyika.

Tangu January mpaka sasa hatujaona kitu. Mbaya zaidi Mawasiliano yetu na wao sio mazuri na hatukutaka haya mambo yafike kwenye Vyombo vya Habari, lakini kinachofanyika sasa ni sisi kuwafuata wao, lakini ilitakiwa wao watufuate sisi.

Hii ni kama tunawambeleza juu ya malipo ya Abuutwalib Mshery. Tunaendelea kuwasubiri na tutakuwa wapole, lakini hawajafanya vile ambavyo tulitarajia. Mtibwa Sugar tumetoa vijana wengi kwenda Yanga, kikubwa watazame makubaliano yetu na wao yanasemaje" Thobias Kifaru (Msemaji wa Mtibwa Sugar)
 
Yanga wezi sana kila kitu utapeli tu
 
Home Shopping centre a.k.a Jiesemu .......Ilikuwa Inajulikana kwa Chupli Chupli Kwahiyo natangaza Rasmi hii SIO habari...!
Habari ingekuwa 'Yanga' Yakamilisha Malipo..!
 
Sio mtibwa tu kuna timu nyingi ziliahidiwa kupewa mpunga na utoh kama watalegeza gemu lkn hadi sasa hakuna walichopewa acha wakome waache ujingaujinga...
 
Sasa habari ya Mtibwa kutolipwa malipo ya goli kipa Mshery, na Mtibwa kucheza mpira ambao wewe haukufurahia inahusisiana nini? Unaelekea kuchanganyikiwa mkuu. Embu pitia kwa daktari wa afya ya akili
Hahahaaaa
 
Teja wa Mohamedi katika ubora.
 
MTIBWA SC WATOKA MAFICHONI, WADAI YANGA HAWAJAWALIPA PESA YA MSHERI

"Yalifanyika makubaliano ya pande mbili tukiamini Yanga ni watu wazima na watatelekeza mkataba unavyosema, lakini mpaka sasa hakuna hata moja lililofanyika.

Tangu January mpaka sasa hatujaona kitu. Mbaya zaidi Mawasiliano yetu na wao sio mazuri na hatukutaka haya mambo yafike kwenye Vyombo vya Habari, lakini kinachofanyika sasa ni sisi kuwafuata wao, lakini ilitakiwa wao watufuate sisi.

Hii ni kama tunawambeleza juu ya malipo ya Abuutwalib Mshery. Tunaendelea kuwasubiri na tutakuwa wapole, lakini hawajafanya vile ambavyo tulitarajia. Mtibwa Sugar tumetoa vijana wengi kwenda Yanga, kikubwa watazame makubaliano yetu na wao yanasemaje" Thobias Kifaru (Msemaji wa Mtibwa Sugar)
Hivi Mods siku hizi hata uzushi unaanzishwa tu na kuachiwa uendelee?
 
Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo vya habari lakini wakati wa kudai wanakwenda kwenye vyombo vya habari na kuviacha vyombo rasmi vya kudai haki yako kama TFF, CAF, FIFA na mahakamani kupata Suluhu.
 
MTIBWA SC WATOKA MAFICHONI, WADAI YANGA HAWAJAWALIPA PESA YA MSHERI

"Yalifanyika makubaliano ya pande mbili tukiamini Yanga ni watu wazima na watatelekeza mkataba unavyosema, lakini mpaka sasa hakuna hata moja lililofanyika.

Tangu January mpaka sasa hatujaona kitu. Mbaya zaidi Mawasiliano yetu na wao sio mazuri na hatukutaka haya mambo yafike kwenye Vyombo vya Habari, lakini kinachofanyika sasa ni sisi kuwafuata wao, lakini ilitakiwa wao watufuate sisi.

Hii ni kama tunawambeleza juu ya malipo ya Abuutwalib Mshery. Tunaendelea kuwasubiri na tutakuwa wapole, lakini hawajafanya vile ambavyo tulitarajia. Mtibwa Sugar tumetoa vijana wengi kwenda Yanga, kikubwa watazame makubaliano yetu na wao yanasemaje" Thobias Kifaru (Msemaji wa Mtibwa Sugar)
Hii ndio furaha pekee uliyo bakisha
 
Back
Top Bottom