dogoodesign
Member
- Oct 21, 2019
- 41
- 21
Kapime akili?Klabu ya soka ya Yanga jana jioni wamesafiri kuelekea Misri kwenye mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya wapinzani wao Pyramids FC. Yanga imeondoka ikiwa inakosa huduma ya wachezaji wake muhimu Kelvin na Lamine Moro kwa harakaharaka ni kama yanga inabidi wasafiri na kapu la kubebea magoli maana sioni Yanga anatokea wapi kule Misri.
Akili zenu zinafanana huwezi kumpinga.Mimi ni nani hata nimpinge mtoa mada.
Kumpima akili wa aina hiyo ni matumuzi mabaya ya madaktari na vifaa tiba. Ni kumwacha hivyo hivyo.Kapime akili?
πππ
hapo hakuna cha kupinga huo ndo ukweli
hapo hakuna cha kupinga huo ndo ukweliMimi ni nani hata nimpinge mtoa mada.
hapo hakuna cha kupinga huo ndo ukweliHata Mimi ni nani nimpinge Mtoa Mada
hapo hakuna cha kupinga huo ndo ukweliMie ni nani hasa nipinge kapu la yanga
hapo hakuna cha kupinga huo ndo ukweliHata mimi ni nani nimpinge mtoa mada.
kama huon ukweli we chizKapime akili?
walitia aibuMnawashwa?
...........Yale magoli yenu 10 mechi mbili msimu uliopita mlibebea kwenye kiroba?
kumbe mnajua kama ww ni mke mwemaNyie kweli ni wanawake wazuri, hamuishi wala hamuchoki kumtaja na kumuwaza Mme wenu. Yanga hongera kwa kuwa na mke mwema mikia fc.
alafu tukafika robo fainaliMnawashwa?
...........Yale magoli yenu 10 mechi mbili msimu uliopita mlibebea kwenye kiroba?