dogoodesign
Member
- Oct 21, 2019
- 41
- 21
Klabu ya soka ya Yanga jana jioni wamesafiri kuelekea Misri kwenye mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya wapinzani wao Pyramids FC. Yanga imeondoka ikiwa inakosa huduma ya wachezaji wake muhimu Kelvin na Lamine Moro kwa harakaharaka ni kama yanga inabidi wasafiri na kapu la kubebea magoli maana sioni Yanga anatokea wapi kule Misri.