Yanga Na Kashifa Ya Kupulizia Wapinzani Sumu Vyumbani USMA wawashitaki CAF

Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana na gazeti lako lililojaa mashudu
Kuna timu andazi zinafanya hii ujuma, Yanga muwe makin hapo kuna mchezo umatengenezwa la sivyo mtakuwa ni watu wa kukanusha na kupigwa faini.
Mwishowe mtafungiwa na ndio kitu kinachotafutwa
Hii Yanga iliyowekeza kwenye soka la kisayans kuan, ia benchi la ufundi mpaka kwa mashabiki na mwendelezo mzuri wa msingi katika uchumi wa timu, hali hii imekwisha washtua upande wa Andazi,
Wanajua sasa yanga inapaa si kutembea au kukimbia
Wamekwisha ona itakuwa ngumu kuipata hii yanga, njia nzuri na kuwapata ni hizi figisu tu na kuna kila dalili Yanga kualibiwa sifa zaidi
Ukiwaangalia andazi vizuri ni timu inayoendeshwa kijima zaidi kama si mfano wa enzi za mawe
Tumejionea wenyewe na Kamera zikiwachukua, wakiwasha moto katikati ya kiwanja,
Bado mikutano yao ikiendeshwa kienyeji kana ni mkutano wa arusi watu wakihaidjwa uongo
Timu inafanya usajiri kisa waifunge tu yanga na roho zao zinapona! [emoji848]
Timu mmiliki analalamika hasara kila akiongelea maendeleo ya timu yake, yaani haieleweki kiujua ni timu ya kufutahia robo robo kila mwaka na wanaridhika
Ni timu mpaka sasa wanabishana Raisi wa heshima kaweka pesa au hajaweka
Yaan haieleweki mambo yao mengi ni kama wanaliga ramli, ina usiri mkubwa sana, kwani wakiweka mambo yao hadharank kuna mashabiki wao watakufa kwa Presha
Yanga hivi sasa ukiyaka kujua lolote una Google tu unaona mshahara wa kila mchezaji na mipango ya timu
Haya nenda kwa timu ANDAZI sasa ni siri kubwa ipo yaan mpaka Ramli na tunguli zifanye kazi kubahatisha,
Rais wa heshima anaonekana kama timu ikitaka kufanikiwa, mara kazira ataki kuweka mpunga wa usajili
Viongozi wa Yanga kuweni makini dhidi ya hujuma za Doto hana nia nzuri na ndugue
Alizoea yeye tu ndo apitie mafanikio ila kwa sasa anamaumivu makubwa sana na anashindwa hata kulala,
Wivu unamsumbua anamaumivu makali sana msimu huu kwani jana cjochote alichoambulia, na ataroga sana mwaka huu, na fitina chungu nzima,
Yanga kuweni makini na huyu andazi a. K. a DoTo
 
Kwa hiki ulichokiandika hapa kwel Cheupe alikuwa sawa kusema wenye akili ni wawili tu.
 
Back
Top Bottom