Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 667
- 338
nipo uwanja wa Ccm Vwawa wilaya ya Mbozi mkoa mpya wa Songwe kushuhudia mchezo wa kirafiki wa Yanga kulipa deni la mkopo wa mchezaji mwashiuya Godfrey na timu zote zimeshaingia uwanjani
Inadokezwa kuwa Mwashiuya ataanza kuchezea Kimondo dakika 20 baadaye atavua jezi na kuichezea Yanga dakika 70
Yanga ndo wanaingia Simwoni mwashiuya
Kimondo wanapata bao la kwanza dk 3 likisababishwa na shuti la mwashiuya alilotema kipa Mudhahir
Kikosi cha Yanga
1.MUDHAHIR 2. JUMA 3.OSCAR 4.RAJABU 5.PATO 6.KAMUSOKO 7.MSUVA 8.TELELA 9.BUSUNGU 10.NGOMA 11.KASEKE
Timu zimeingia na Yanga wanaanzakupeleka Kusini wakati Kimondo wapo Kaskazini