Yanga na Kimondo leo

Yanga na Kimondo leo

Mlendamboga

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
667
Reaction score
338
nipo uwanja wa Ccm Vwawa wilaya ya Mbozi mkoa mpya wa Songwe kushuhudia mchezo wa kirafiki wa Yanga kulipa deni la mkopo wa mchezaji mwashiuya Godfrey na timu zote zimeshaingia uwanjani

Inadokezwa kuwa Mwashiuya ataanza kuchezea Kimondo dakika 20 baadaye atavua jezi na kuichezea Yanga dakika 70

Yanga ndo wanaingia Simwoni mwashiuya
Kimondo wanapata bao la kwanza dk 3 likisababishwa na shuti la mwashiuya alilotema kipa Mudhahir

Kikosi cha Yanga
1.MUDHAHIR 2. JUMA 3.OSCAR 4.RAJABU 5.PATO 6.KAMUSOKO 7.MSUVA 8.TELELA 9.BUSUNGU 10.NGOMA 11.KASEKE


Timu zimeingia na Yanga wanaanzakupeleka Kusini wakati Kimondo wapo Kaskazini
 
nimeipenda hii, tunasubiri updates zako mkuu. Anza na kikosi cha yanga kinachoanza
 

Attachments

  • 20150809_150951.jpg
    20150809_150951.jpg
    216.6 KB · Views: 367
YANGA VS KIMONDO LEO 1.MUDHAHIR 2. JUMA 3.OSCAR 4.RAJABU 5.PATO 6.KAMUSOKO 7.MSUVA 8.TELELA 9.BUSUNGU 10.NGOMA 11.KASEKE

uwanja umefurika haijawahi tokea
 
Yanga wanapigwa bao la kwanza Geofrey mwashiuya amepiga adhabu ndogo kipa akatema ndipo mchezaji wa kimondo akatupia wavuni dakika ya 3
 
mwashiuya anawathbitshia kwel anaweza, maboss wake hawakubahatsha kumsajili
 
Dakika ya 40 Busungu anakosa goli, Yanga baco inahemea kama siyo kuhemewa
 
FT

Kimondo 1-4 Yanga

Magoli ya Yanga yamefungwa na Deus Kaseke, Amis Tambwe na Geofrey Mwashiuya (kafunga mawili)...
 
FT

Kimondo 1-4 Yanga

Magoli ya Yanga yamefungwa na Deus Kaseke, Amis Tambwe na Geofrey Mwashiuya (kafunga mawili)...

Asante sana Mkuu kwa taarifa hii. Sisi hatujivunii mechi za bonanza, ingekuwa ni wale wenzetu, mjini pangekuwa na kelele nyingi kama zile za vyura nyakati za masika.

CC. Masuke (aione ndani ya jalada).
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu kwa taarifa hii. Sisi hatujivunii mechi za bonanza, ingekuwa ni wale wenzetu, mjini pangekuwa na kelele nyingi kama zile za vyura nyakati za masika.

CC. Masuke (aione ndani ya jalada).
Hiyo timu ya Kimondo inacheza daraja la ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom