King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Marefa/ waamuzi wabovu wapo chini ya nani kama sio TFF? Je TFF inaongozwa na nani kama sio karia?
Hayo unayoyataja yapo chini ya Bodi ya Ligi ambayo ina mwenyekiti wake na si TFF as TFF.
Karia hana mamlaka ya kusema goli lililokataliwa uwanjani la Timu yoyote lirudishwe, au goli la Timu fulani lilikuwa Offside hivyo lisihesabiwe.
Wala Karia hana mamlaka ya kusema Refarii fulani kainyanyasa Timu fulani ninamsimamisha asichezeshe tena mpira.
Hayo yote mulitakiwa muyakatie Rufaa na kamati husika isikilize, lakini hakuna Yanga walichofanya zaidi ya kulalamika kwenye Media kwasababu wanajua hawana hoja ya Msingi.
Hivyo mpaka sasa mumeshindwa kuleta hoja Karia anawaonea kivipi?