Yanga na kwenye hili pia mtamlalamikia Karia?

Marefa/ waamuzi wabovu wapo chini ya nani kama sio TFF? Je TFF inaongozwa na nani kama sio karia?

Hayo unayoyataja yapo chini ya Bodi ya Ligi ambayo ina mwenyekiti wake na si TFF as TFF.

Karia hana mamlaka ya kusema goli lililokataliwa uwanjani la Timu yoyote lirudishwe, au goli la Timu fulani lilikuwa Offside hivyo lisihesabiwe.
Wala Karia hana mamlaka ya kusema Refarii fulani kainyanyasa Timu fulani ninamsimamisha asichezeshe tena mpira.
Hayo yote mulitakiwa muyakatie Rufaa na kamati husika isikilize, lakini hakuna Yanga walichofanya zaidi ya kulalamika kwenye Media kwasababu wanajua hawana hoja ya Msingi.

Hivyo mpaka sasa mumeshindwa kuleta hoja Karia anawaonea kivipi?
 
Kwa vile kuna mchezaji wa Yanga ana magoli 7, top scorer inaishia goli 8. Very kind of you people.
Angekuwa na goli 9, top scorer ingeishia 10.
sasa list ishafika wachezaji 11 unataka wawekwe wafike wangapi?huyo wa magoli saba hawezi ongeza ongeza?leo keeper lenu la under 20 enzi hizo liko golini tena saa moja usiku sasa huyo kaseke ahindwe tu kujipigia hat trick
Vipi kuhusu assist je? maana list inaishia kwa dube mwenye assist 5 chama ana 13, viungo wenu shida nini?
 
Kwahiyo unataka kusema TFF haina mamalaka ya kuchuja,. Kuwaandaa, kuwajibisha, marefa bali hayo ni majukumu ya bodi ya ligi? Nilikuwa sijui kama marefa wapo chini ya bodi ya ligi hawasimamiwi na TFF
 
Tatizo sio ukubwa wa list bali benchmark iishie wapi.
Benchmark inaweza kuwa wafungaji watatu bora kwa mfano. Haijalishi kama magoli mangapi.

Hii ya goli 8 kaiweka nani kwa kigezo kipi?
 
Viungo hawana shida. Hiyo Azam na hizo impressive figures ipo nafasi ya ngapi? Mwisho wa siku ni msimamo wa ligi unaomua nani bora!
Ni kama ball possesion tu. Jana Waydad ka posses sana lakini kama cha nguruwe kwa Kaizer Chiefs!
 
Najua simbwa mnajiona Sana Sana Sana muda si rafiki tena kwenu mtalia mtalia mtalia si muda mrefu
 
Najua simbwa mnajiona Sana Sana Sana muda si rafiki tena kwenu mtalia mtalia mtalia si muda mrefu
kulia kwa ajili gani sababu mnashusha mitambo ya magoli? mwisho wa siku mnajikuta mna wachezaji 12 wapya mnaanza story za tuwape muda watengeneze chemistry
 
Katelephone?
 
Juu umeanza vizuri mpaka katikati chini kidoogo umebugi. Hapo uliposema kila mtu ashinde mechi zake. Wenye maamuzi wakitaka usishinde utashinda vipi.
 
Hapa ndo nnapoonaga sometimes mpira na mapenzi vinafanana, yan moyo wa mtu ukishapenda kitu una shut down your intelligence & consciousness. Hii inawatukuta sana wale mashabiki maandazi, yan makosa mengne kumlaum rais wa TFF n dalili mojawapo ya uvivu wa kufikiria. Ukiwa hv utaish kwa tabu sana, makosa ya referee uwanjan, upungufu wa creativity wa team ya yanga na shida ilyopo kwny management yao vyte hvo wanaenda kuvifichia kwa Karia.

wanataka kutuaminisha kuwa wao pekee kwny hii lig ndo wanaonewa, statistics do not lie, ukienda uwanjan uwaangalie jinsi wanavocheza uki compare na simba still there is a huge difference. Na mkiishi kweny hyo dhana kuwa TFF wanawahujum bas hyo itakua n blessing in a disguise kwa simba.
 
Kama kweli unajua mpira huwezi na Jana umeangalia u20 basi tuache ushabiki wa kijinga hata mimi Jana nimeona wameonewa ikumbukwe wale wote ni watoto hupaswi kuwakandamiza imeuma sana kale kadogo kukataliwa goli lile.
acha kulalamika kwa hiyo kisa mtoto ndo apewe goal la offside.
 
Karia hakwepi lawama waamuzi wapo chini yake mbona ipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…