Yanga na Majimaji, Tupeni matokeo

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,736
Jamani mnaosikiliza game hilo kupitia tbc tujuzeni matokeoooooooo
 
Hapo ndo tatizo waulize yaliyotokea Mail 20000 watakujuza lakini hapa songea hamna kitu
 
0-0 huku refa akiwanyima Yanga penati dk ya 90 baada ya Mwape kuangushwa kwenye eneo la penalti.
 
Yanga watatue mgogoro wao bila hivyo wanaweza mwisho waligi wakawa nafasi ya 8 ktk msimamo waligi,kila kukicha mambo yanaenda mrama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…