Yanga na Majimaji, Tupeni matokeo

Yanga na Majimaji, Tupeni matokeo

Hapo ndo tatizo waulize yaliyotokea Mail 20000 watakujuza lakini hapa songea hamna kitu
 
0-0 huku refa akiwanyima Yanga penati dk ya 90 baada ya Mwape kuangushwa kwenye eneo la penalti.
 
Yanga watatue mgogoro wao bila hivyo wanaweza mwisho waligi wakawa nafasi ya 8 ktk msimamo waligi,kila kukicha mambo yanaenda mrama.
 
Back
Top Bottom