Mkataba una vipengele na hivyo ndio vinafuatwa. Mkataba sio mstari mmoja kwamba bwana che mittoga ni mchezaji wa yanga kuanzia 2023 mpaka 2025 basi.Vipi kama anataka kucheza Yanga hadi mkataba wake utakapofikia kikomo?
Mtamlazimisha kumuuza?
Sheria ya mkataba inasemaje hapo?
Nimeajiriwa Yanga kwa miaka miwili, vipi nilazinishwe kusaini mkataba mwingine au kuuzwa kabla ya kutisha mkataba wa awali?
Ni kweli muda WA mkataba unatamkwa lakini kunakuwa na vipengele vingine ambavyo vinaweza kutamka mchezaji utauzwa katika mazingira gani bila kujali kama umekaribia kumaliza mkataba au la. Vipengele vingine vinatamka kabisa na bei ambayo mchezaji atatakiwa auzwe.