Yanga na mayele bado ngumu

Mkataba una vipengele na hivyo ndio vinafuatwa. Mkataba sio mstari mmoja kwamba bwana che mittoga ni mchezaji wa yanga kuanzia 2023 mpaka 2025 basi.
Ni kweli muda WA mkataba unatamkwa lakini kunakuwa na vipengele vingine ambavyo vinaweza kutamka mchezaji utauzwa katika mazingira gani bila kujali kama umekaribia kumaliza mkataba au la. Vipengele vingine vinatamka kabisa na bei ambayo mchezaji atatakiwa auzwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…